Headboy wa mtaa (@sirajitz1) 's Twitter Profile
Headboy wa mtaa

@sirajitz1

Old is gold

ID: 1533514114722578432

calendar_today05-06-2022 18:20:46

217,217K Tweet

95,95K Followers

1,1K Following

Husnaiya (@cutyhusnah) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan azungumza na Sungusungu CCM Kirumba Mwanza Hakika Tanzania Ina vijana wanaoipenda nchi Yao haswa 🇹🇿 #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AWAPONGEZA VIONGOZI WA DINI KWA KUUNDA UMOJA WA WADAU WA AMANI. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewashukuru viongozi wa dini kwa hatua ya busara ya kuunda Umoja wa Wadau wa Amani, chombo ambacho

꧁FatumaCute💋꧂ (@fatumacute) 's Twitter Profile Photo

Kwa hekima na busara, viongozi wa dini wameunda Umoja wa Wadau wa Amani. Rais Samia awapongeza na kuhimiza mshikamano wa kweli kwa ajili ya kulinda utulivu wa taifa letu. Amani ni msingi wa maendeleo. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

HER (@heroinelincoln) 's Twitter Profile Photo

Leo katika Uwanja wa CCM Kirumba, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonesha kwa vitendo dhamira yake ya dhati ya kuimarisha usalama wa taifa kwa kushirikiana na wananchi. Kupitia #kaziNaUtu #TunasongaMbele

𝐃𝐢𝐜𝐤𝐞𝐧𝐨 (@kingdickeno) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu amewataka viongozi wa dini kulea na kuponya nyoyo zetu ili nchi yetu ibaki salama amani izidi kutawala, leo hii tarehe 20 June 2025 kwenye uwanja wa “Kazi na utu Tunasongambele” #kazinautu #Tunasongambele

One Sister (@rahma_simba) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza wajibu wa watoa huduma za usafirishaji kuhakikisha usalama wa abiria na vyombo vyao. Ni jukumu la msingi katika kulinda maisha na kuimarisha huduma bora kwa wananchi. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

The Manywele (@manywele_ze) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia inaendelea kushirikiana na taasisi za dini kama washirika wa maendeleo, hasa katika kuhamasisha amani. Uongozi wa Dkt. Samia unaonyesha kwa vitendo kuwa dini na Serikali vinaweza kushirikiana kuleta amani ya taifa #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa ombi kwa wakuu wa mikoa kushirikiana kikamilifu na sungusungu, maafisa wa usafirishaji pamoja na wadau wa amani, ili na wao waweze kuwapa ushirikiano wa kutosha katika kutekeleza majukumu yao. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Moker 👁️ (@moker___) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan atoa shukrani kwa maafisa wa usafirishaji, aahidi mazingira bora zaidi ya kazi Lakini akasisitiza: 'Ongezeni umakini barabarani kwa usalama wa wote!

Ulimwengu🇦🇷 (@hamisuniversal) 's Twitter Profile Photo

Taifa liko katika mikono salama ya Dkt. Samia Suluhu kwa kushilikiana kwa Karibu sana na viongozi wengine bila kusahau viongozi wa Dini ambao ndio madaltari wa nyoyo za waumini wao. “Kazi na Utu, Tunasonga Mbele” #KaziNaUtu #TunasongaMbele