SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile
SIR JEFF⚡🇹🇿

@sirjeff_d

IQ 150-Genius//Futurist🦾//Sarcasm🤣//Critic of Morals & Culture📢//Cypherpunk💻//OXXON💙//BTC🧡//$TSLA📈//Stories✍️//Nietzschean🧠

ID: 1593905719

calendar_today14-07-2013 17:31:35

10,10K Tweet

99,99K Followers

10 Following

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Utapeli wa baadhi ya NGO ni kuwa na mchongo unaonekana unagusa maisha ya watu kama ‘Okowa Yatima wa Sadville’, halafu wanachukua mchuzi wote na hakuna yatima yoyote anayenufaika. –Elon Musk

Mtu mwenye IQ ndogo hatakiwi kabisa kugusa vitabu vya falsasa Mfano, hapa IQ ndogo atasoma hii statement ya Nietzsche kisha atatafsiri directly kuwa "Mungu amekufa, na tumemuua mwenyewe"

Mtu mwenye IQ ndogo hatakiwi kabisa kugusa vitabu vya falsasa

Mfano, hapa IQ ndogo atasoma hii statement ya Nietzsche kisha atatafsiri directly kuwa "Mungu amekufa, na tumemuua mwenyewe"
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Ipo siku wananchi watachoka kuvumilia upuuzi wa baadhi ya viongozi Watachukua sheria mkononi. Nadhani mnafahamu hawa viongozi walichofanywa na raia wao Laurent Kabila Benito Mussolini Julius Caesar W. McKinley Mahatma Gandhi Anwar Sadat Samuel Doe Najibullah Jovenel Moise Morsi

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Madogo waliopo chuo, wanadhani sisi ambao tupo mtaani ila hatuna ajira, magari, na nyumba ni wazembe na hatutumii akili zetu vzr.😆

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

USA ina ukubwa mara 10 ya TZ USA ina watu mil 340, TZ tupo mil 67 USA in GDP ya $25 trillion, TZ tuna GDP $80 Billion Sasa inakuwaje; USA ina wizara 18; TZ kuna wizara 23 USA ina sanators 100; TZ kuna wabunge 393 USA ina governors 50; TZ kuna ma-DC 180+ Michezo ya TOWN🤔

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Hata siku ikifika ambayo kipande kimoja cha muhogo kikauzwa shilingi elfu 10, vijana wa Tanzania hawatafanya kitu chochote. Tuna "U" tatu; -UOGA -UJINGA -USHAMBA

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Sasa hivi ukisema umpatie kijana wa kitanzania mil 50... Nina uhakika zaidi ya asilimia 90 ya vijana watashindwa wafanye nini kukuza hiyo pesa... ishu sio mtaji, ishu ni IQ na mbinu.

Nimeumizwa sana na haya matokeo; ila Jumapili tutakuepo hapa... Madrid asipokula kamba 4 niitwe KONDOO. Visca el Barca, i visca Catalunya

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

With my unique sense of fashion, and above average IQ, I can't help but notice how MOST celebrities lack taste, originality, and intelligence.