Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile
Sokoine University of Agriculture (SUA)

@sokoineu

A leading university in the provision of quality #knowledge and #skills in #Agriculture, #Veterinary, #Forestry, #Food, #Wildlife, #Animal Sciences and more

ID: 1388879300

linkhttps://www.sua.ac.tz calendar_today29-04-2013 07:14:14

1,1K Tweet

12,12K Followers

125 Following

Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

Picha mbalimbali katika Kilele cha Utoaji wa Tuzo za Serikali ya Wanafunzi SUA (SUASO) pamoja na Shindano la Kumtafuta Mr. na Miss SUA – Freedom Square, Kampasi ya Solomon Mahlangu, Morogoro. #SUASO #SUA

Picha mbalimbali katika Kilele cha Utoaji wa Tuzo za Serikali ya Wanafunzi SUA (SUASO) pamoja na Shindano la Kumtafuta Mr. na Miss SUA – Freedom Square, Kampasi ya Solomon Mahlangu, Morogoro.
#SUASO
#SUA
Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Ndaki ya Tiba ya Wanyama na Sayansi za Afya kinaendelea kukuza umahiri wa vitendo kwa wanafunzi wake kwa kutumia ngamia kama sehemu ya mafunzo ya kitaaluma. πŸͺπŸ“š #SUA #ElimuYaVitendo

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Ndaki ya Tiba ya Wanyama na Sayansi za Afya kinaendelea kukuza umahiri wa vitendo kwa wanafunzi wake kwa kutumia ngamia kama sehemu ya mafunzo ya kitaaluma. πŸͺπŸ“š 
#SUA #ElimuYaVitendo
Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

Ngamia ni wa kipekee, hustahimili mabadiliko ya hali ya hewa na hutoa fursa nyingi kiuchumi. Bi. Enesa anawahimiza wafugaji kuchangamkia fursa hii. πŸ’ΌπŸŒ΅ #UfugajiWaNgamia

Ngamia ni wa kipekee, hustahimili mabadiliko ya hali ya hewa na hutoa fursa nyingi kiuchumi. Bi. Enesa anawahimiza wafugaji kuchangamkia fursa hii. πŸ’ΌπŸŒ΅

#UfugajiWaNgamia
Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

Waelimisha rika SUA wamepewa elimu ya namna kudhibiti UKIMWI na magonjwa yasiyoambukiza (NCD's) mahala pa kazi, ambapo Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala Bw. Peter Mwakiluma amehimiza uadilifu katika utekelezaji wa majukumu yao.

π‘΄π’‚π’›π’Šπ’π’ˆπ’Šπ’“π’‚ π’Žπ’‚π’›π’–π’“π’Š π’π’‚π’›π’Šπ’Žπ’‚ π’šπ’‚π’˜π’†π’Œπ’˜π’† π’Šπ’π’Š π’Œπ’–π’˜π’‚π’—π’–π’•π’Šπ’‚ 𝒏𝒂 π’Œπ’–π’˜π’‚π’ƒπ’‚π’Œπ’Šπ’›π’‚ π’˜π’‚π’˜π’†π’Œπ’†π’›π’‚π’‹π’Š

Wanafunzi ambao ni wawakilishi wa madarasa kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wakiwa katika kikao maalum cha Bodi ya Wawakilishi wa Madarasa – SUASO 2025/2026 kilichofanyika katika ukumbi wa SJ345, Kampasi ya Solomon Mahlangu, Morogoro Leo Juni 06, 2025.

A proud moment at SUA Neo, our beloved 20 year old horse, has given birth to her 2nd foal in a year to meet Rapha 🐎 These horses are vital in training future vets with real, hands on skills at SUA. #SUA #VetLife #NeoTheHorse #AnimalHealth #Tanzania

A proud moment at  SUA

Neo, our beloved 20 year old horse, has given birth to her 2nd foal in a year to meet Rapha 🐎

These horses are vital in training future vets with real, hands on skills at SUA.

#SUA #VetLife #NeoTheHorse #AnimalHealth #Tanzania
Sokoine University of Agriculture (SUA) (@sokoineu) 's Twitter Profile Photo

Mwanamitindo na Mtengeneza Mahudhui Mtandaoni Bi. Annah Enock amewahimiza wanafunzi wa SUA kutumia fursa ya mitandao ya kijamii kwa kuonesha bunifu zao katika sayansi na teknolojia.

Jengo la Mtambuka la Mafunzo la Dr. Samia Suluhu ni moja ya majengo muhimu kwa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo likiwa na maabara, ofisi, na vyumba vya madarasa lenye uwezo wa kuchukua zaidi ya watu elfu 3,000 kwa wakati mmoja.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Prof. Raphael Chibunda akishiriki katika hafla ya Gawio la Serikali kutoka kwa Mashirika ya Umma na Taasisi mbalimbali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Juni, 2025.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kasanga wakiwa katika matukio ya picha wakati wa ziara ya kujifunza kwenye Idara ya Sayansi za Wanyama, Ukuzaji wa Viumbe Maji na Nyanda za Malisho waliyoifanya Leo Jumatano Juni 11, 2025.

Big news from SUA, Morogoro! SUA has received a modern irrigation pump from Enza Zaden Africa Ltd (Arusha) 🌱 The tech can filter, mix fertilizers & distribute water, a major boost for practical agri training! #SUA #KilimoBora

Big news from SUA, Morogoro!

SUA has received a modern irrigation pump from Enza Zaden Africa Ltd (Arusha) 🌱
The tech can filter, mix fertilizers & distribute water,  a major boost for practical agri training! 

#SUA #KilimoBora