Stereo Singasinga (@stereo89stereo) 's Twitter Profile
Stereo Singasinga

@stereo89stereo

Tanzanian Hip-Hop artist/Song writer/Holding BSc. Urban and Regional Planning.

ID: 348975205

calendar_today05-08-2011 09:41:53

3,3K Tweet

36,36K Followers

5,5K Following

DON'T TRUST POWER (@toodeeptoendure) 's Twitter Profile Photo

"Jitambue jikwamue panga mikakati, kutegemea ndugu kumepitwa na wakati, uza supu ya mkia na chapati, tosheka kuna watu hata mia hawapati!" - SIMAMA By Stereo Singasinga ft. TK Nendeze #ExperienceAlbum

Stereo Singasinga (@stereo89stereo) 's Twitter Profile Photo

Shule kutoka kwa Marehemu BABA yangu Joe Masanilo (RIP) kwenu ninyi waandishi na wapishi wa habari. instagram.com/p/CwMX5r4otSa/…

Jooozey (@joseph02086822) 's Twitter Profile Photo

👉Miongoni mwetu wapo waliotangulia kufika, kuchelewa kwetu ni kutangulia kusita,Ni wazi ukiendekeza watu utaambulia kutishwa, Tusipofanya kazi njaa itatushambulia kukichaa.. Stereo Singasinga

After X (@realafterxtz) 's Twitter Profile Photo

Song: Pamoja We Can 🎶 Prod : B hit'z ( Prod. Pancho Latino 🕊 ) Artists: DJ Choka Ft. Leo, Mabeste, Baghdad, Kamikaze, Shetta, Noorah, Young D, Stereo, Deddy

Stereo Singasinga (@stereo89stereo) 's Twitter Profile Photo

Ujinga, maradhi, njaa na tamaa ya fahari za dunia hii ni miundombinu ya kufanikisha shughuli na matakwa ya kishetani. P. Diddy yupo mbali sana, ni mengi yali, yame, yanaendelea kutokea hapahapa nyumbani. Ni suala la muda tu.

Stereo Singasinga (@stereo89stereo) 's Twitter Profile Photo

Kaka @hamisi_actor ahsante sana kwa upendo. Ni miaka 15 sasa tangu nilipoutoa huu wimbo 'NITABAKI JUU'. Tuendelee kubaki juu katika yale tunayoyaamini na kuyafanya. instagram.com/reel/DIIMVOio4…

Stereo Singasinga (@stereo89stereo) 's Twitter Profile Photo

Mnaleta ukabila hadi kwenye muziki!!! Unamkubali/unamsupport mwana kisa ni kabila moja hata kama ni mwepesi tu!!! You guys are so funny.

Stereo Singasinga (@stereo89stereo) 's Twitter Profile Photo

Tuwaombee waafrika wenzetu nchi jirani wapate utulivu,wawe na amani. Amani na utulivu katika nchi zao vina mchango wa moja kwa moja katika uchumi wa MAMA TANZANIA.