Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile
Samia Suluhu

@suluhusamia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania

ID: 2652554565

calendar_today29-06-2014 07:42:17

1,1K Tweet

1,8M Followers

27 Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Sehemu ya kazi siku ya leo nilipokutana na kufanya mazungumzo na mmiliki wa klabu ya mpira wa miguu ya Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, Ikulu, Dar es Salaam. Tumekuwa na mjadala mzuri kuhusu kushirikiana katika masuala ya uhifadhi pamoja na utafiti. Sambamba na hayo,

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya vifo vya Mhandisi Boniface Gissima Nyamohanga, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), pamoja na dereva wake, Muhajiri Mohammed Haule, vilivyotokea usiku wa kuamkia leo kwa ajali ya barabarani eneo la Bunda, Mkoa wa Mara.

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Sheikh Hassan Daher, Sheikh wa Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora. Sheikh Hassan alikuwa mwalimu wa wengi katika imani, aliyeamini, kufundisha na kuhimiza upendo, umoja, amani na utulivu wa nchi yetu. Natoa salamu za pole kwa familia,

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Pasaka ambapo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo. Siku hii njema ikawe pia ya tafakari kwetu sote juu ya upendo wetu kwa Muumba wetu na wenzetu; juu ya kujitoa kwa bidii na weledi katika utekelezaji wa

Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Pasaka ambapo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo. 

Siku hii njema ikawe pia ya tafakari kwetu sote juu ya upendo wetu kwa Muumba wetu na wenzetu;  juu ya kujitoa kwa bidii na weledi katika utekelezaji wa
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF Confederation Cup). Mmeleta furaha kwa mashabiki wenu na Watanzania wote na kuipeperusha vyema bendera ya nchi yetu. Motisha kutoka kwangu mtaipokea kupitia Wizara

Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko. Katika kipindi chote cha miaka 12 akiwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko ameishi maisha yake kama mwalimu na kiongozi aliyefundisha na kuhimiza ustawi na maendeleo ya

Pongezi za dhati kwa Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Mbio ya Boston (Boston Marathon). Umefanya kazi nzuri. Ushindi wako ni matokeo ya kujituma kwa bidii, maandalizi mazuri, nidhamu yako kuanzia jeshini, kwenye mazoezi hadi kwenye

Pongezi za dhati kwa Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Mbio ya Boston (Boston Marathon). Umefanya kazi nzuri.

Ushindi wako ni matokeo ya kujituma kwa bidii, maandalizi mazuri, nidhamu yako kuanzia jeshini, kwenye mazoezi hadi kwenye
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kwa unyenyekevu na shukrani, nimepokea ujumbe wa hayati Papa Francisko kwangu, kwa nchi yetu na kwa Watanzania wote, aliouandika siku chache kabla Mwenyezi Mungu hajamwita kwake, na kumkabidhi Balozi wa Vatican hapa nchini, Askofu Mkuu Angelo Accattino. Tuendelee kumwombea kwa

Kwa unyenyekevu na shukrani, nimepokea ujumbe wa hayati Papa Francisko kwangu, kwa nchi yetu na kwa Watanzania wote, aliouandika siku chache kabla Mwenyezi Mungu hajamwita kwake, na kumkabidhi Balozi wa Vatican hapa nchini, Askofu Mkuu Angelo Accattino.

Tuendelee kumwombea kwa
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF Confederation Cup), na kuandika historia ya kufika fainali ya mashindano haya. Mmeipa nchi yetu heshima kubwa. Nawatakia kila kheri. Mnayo hamasa yangu wakati

Leo ni siku ya kipekee katika sekta ya kilimo na uchumi wa nchi yetu kwa ujumla, ambapo nimezindua Benki ya Ushirika Tanzania. Benki hii ni sehemu ya kazi kubwa tunayoendelea kuifanya ya kuongeza tija katika sekta ya kilimo. Uanzishaji wa benki hii unalenga kutimiza hitaji la

Ninaipongeza Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 15 kwa kuwa mabingwa wa Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Shule za Afrika (CAF African Schools Football Championship) kwa mara ya pili mfululizo. Ninajivunia ushindi wenu kwani ni fahari kwa Taifa letu na chachu ya

Hongereni wanangu Timu ya Taifa ya Wanawake ya Mchezo wa Futsal kwa kufuzu kuingia fainali ya mashindano hayo kwa Bara la Afrika, na wakati huo huo kufuzu kucheza Mashindano ya Kombe la Dunia la Futsal kwa Wanawake 2025 ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), yatakayofanyika huko

Kheri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kwetu sote. Nimefurahi kutumia sehemu ya siku hii na wananchi na wafanyakazi mkoani Singida, ambapo pia nimetangaza uamuzi muhimu wa Serikali kuongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Uamuzi huu

Kheri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kwetu sote. Nimefurahi kutumia sehemu ya siku hii na wananchi na wafanyakazi mkoani Singida, ambapo pia nimetangaza uamuzi muhimu wa Serikali kuongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. 

Uamuzi huu
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Ninafarijika kuona tumepiga hatua kubwa katika kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari na kujieleza, ambapo mwaka 2025 tumepanda zaidi katika viwango vya uhuru wa vyombo vya habari duniani. Haya ni matokeo ya kazi kubwa

Kheri ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari.

Ninafarijika kuona tumepiga hatua kubwa katika kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari na kujieleza, ambapo mwaka 2025 tumepanda zaidi katika viwango vya uhuru wa vyombo vya habari duniani. Haya ni matokeo ya kazi kubwa
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ninawatakia kila la kheri wanangu wote wa Kidato cha Sita na Ualimu ngazi ya Astashahada na Stashahada mnaoanza mitihani yenu ya kuhitimu leo. Hii ni hatua kubwa na muhimu katika safari yenu ya kielimu na kimaisha. Serikali imefanya kazi kubwa kisera na kiuwekezaji katika sekta

Taarifa ya kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa David Cleopa Msuya, kilichotokea leo katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Dar es Salaam. Ninatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote. Apumzike kwa Amani.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo Ikulu jijini Dar es Salaam nimempokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mheshimiwa Daniel Francisco Chapo, ambapo tumefanya mazungumzo na kushuhudia utiaji saini wa mikataba miwili na hati nne za makubaliano katika sekta mbalimbali. Hatua hii inalenga kuimarisha uhusiano

Habemus Papam! Pongezi za dhati kwa Kardinali Robert Francis Prevost, Papa Leo XIV kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani. Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninakutakia kila la kheri katika utumishi wako kwa Kanisa na Dunia

Habemus Papam!

Pongezi za dhati kwa Kardinali Robert Francis Prevost, Papa Leo XIV kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani. 

Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninakutakia kila la kheri katika utumishi wako kwa Kanisa na Dunia
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend my congratulations to His Excellency Mr. Vladimir Vladimirovich Putin, President of the Russian Federation, on the occasion of Victory Day. This day symbolizes the heroism, resilience, and

On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend my congratulations to His Excellency Mr. Vladimir Vladimirovich Putin, President of the Russian Federation, on the occasion of Victory Day. 

This day symbolizes the heroism, resilience, and