
Suphian Juma Nkuwi
@suphianjuma
●Mgombea Ubunge Singida Magharibi 2020.
● Mkurugenzi Mtendaji @TAA_Tanzania
●MWANZILISHI- SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA
ID: 3363017128
06-07-2015 19:52:43
94,94K Tweet
156,156K Followers
6 Following


Suphian Juma Nkuwi Samia Suluhu Kabisa hawataweza na sisi kama vijana tuko tayari kuweka bayana ukweli wote dhidi ya kazi anayoifanya daktari samia suluhu hassan

Mnahangaika sana. Ipo hivi; Chama Cha Mapinduzi tunapendwa na wananchi kutokana na maendeleo tunayowaletea kupitia Mwenyekiti na Rais wetu Dkt Samia Suluhu, na tutashinda kwa kishindo kikuu.


MKOME‼️ Akina Maria Sarungi Tsehai, Chadema Tanzania na wanaharakati wao wa Kenya akina The People’s Watchman wamegeuka piltoni baada ya mipango kufeli na kupata hili ONYO kali. BEHAVE‼️ Ahsante Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu kwa hotuba nzito, hakuna kuwadekeza hawa viumbe watuharibie nchi.

Hey Willis Evans Otieno &co. Mnamkosea adabu makusudi halafu mnataka awachekee? Sawa na uje kwangu uniibie halafu uniambie nikukamate kwa adabu... Mlimchukulia poa kisa mpole, tulieni dawa iwaingie. Mama yangu Samia Suluhu tunaomba uendelee kushikilia msimamo wako hadi wanyooke.

Ushamba wa grade A+ ni kudukua akaunti ya Taasisi halafu unapotosha jambo ambalo kivyovyote vile hakuna Mtanzania hata wa "vidudu" atakuamini.. Hawa viumbe na mtandao wao wakamatwe wanyooshe iwe somo. IPO HIVI; Rais Dkt Samia Suluhu atashinda kwa zaidi ya 80%, JISUMBUENI.

Tanzania ya Rais Dkt Samia Suluhu ni namba moja ya Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa Afrika nzima.




Baada ya Uchaguzi Mkuu huu 2025 vyama vikuu vya Upinzani vitakuwa katika mtiririko huu... 1) ACTWazalendo 2) CHAUMMA Tanzania 3) CHADEMA TANZANIA N:B Namba moja inaweza kuwa aidha ACT wazalendo ama CHAUMMA. N:B nyingine; CHADEMA hadi 2030 itazidiwa hata na TLP ya sasa iliyozimia.







Hii akaunti nyingine ya Mange Kimambi huko Instagram ifungwe kama ile ya zamani; anachokifanya huyu msimbe si uhuru wa Kujieleza bali chuki, wivu na utovu wa maadili uliopotiliza dhidi ya nchi yetu akidhani anamkomoa Rais Dkt Samia Suluhu Kiufupi ni MHAINI; siku yake imekaribia.

Kinachomuumiza Askofu Bishop Josephat Gwajima PhD hadi kubwabwaja vile ni vitu viwili; 1) Hakuteuliwa Uwaziri na Mama, nje ya mategemeo. 2) Kuna Kiongozi Mkubwa (Hayupo duniani sasa) alimwahidi atakuwa Kiongozi mkubwa baada ya uchaguzi mkuu 2025 AMEJIMALIZA KISIASA kwa upofu wake wa madaraka.