dackplace (@sydneysado49873) 's Twitter Profile
dackplace

@sydneysado49873

ALWAYS LOVE'S HEART BEING WEAK

ID: 1745340979836502016

calendar_today11-01-2024 07:05:28

371 Tweet

293 Followers

826 Following

dackplace (@sydneysado49873) 's Twitter Profile Photo

embu muombe mungu hata jaribu kiiiidogo tu. ILI UJUWE NGANO NI ZIPI NA MAGUGU NI YAPI actually watu tumeacha ngano na magugu vikuwe pamoja lakin kuna muda unahtaji tasimini ya kile ulichowekeza...

𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁 (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Tizama watu (10) waliofanya mabadiliko kwenye miili yao kupita kiasi (Before & After) 1. Anthony Loffredo (The Black Alien) Anthony Loffredo, anayejulikana kama "The Black Alien," ni raia wa Ufaransa aliyefanya mabadiliko makubwa ya

Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.

Tizama watu (10) waliofanya mabadiliko kwenye miili yao kupita kiasi (Before & After) 

1. Anthony Loffredo (The Black Alien)

Anthony Loffredo, anayejulikana kama "The Black Alien," ni raia wa Ufaransa aliyefanya mabadiliko makubwa ya
Van Mersey (@van_mersey) 's Twitter Profile Photo

BAADHI YA POST ZA KUTUPIANA VIJEMBE, MABANGO NA MADONGO WASANII WAKUBWA WENYE BIFU AMBAZO UMEZISAHAU 🧵Shuka na Uzi 👇 01. Ali Kiba kwa Diamond Platinumz Hii ilikuja baada ya Diamond Platinumz kusema kwenye press conference kwamba ndugu yangu Ali Kiba pia atakuwepo kwenye

BAADHI YA POST ZA KUTUPIANA VIJEMBE, MABANGO NA MADONGO WASANII WAKUBWA WENYE BIFU AMBAZO UMEZISAHAU 

🧵Shuka na Uzi 👇

01. Ali Kiba kwa Diamond Platinumz 

Hii ilikuja baada ya Diamond Platinumz kusema kwenye press conference kwamba ndugu yangu Ali Kiba pia atakuwepo kwenye
~BINGWA⚡ (@bingwaik) 's Twitter Profile Photo

THREAD⚡ 🧵 ⚡HISTORIA FUPI YA CHE GUEVARA Jina kamili: Ernesto "Che" Guevara. Kazi yake: Daktari na mwanamapinduzi wa kijamaa (Marxist). Alizaliwa Argentina, Juni 14, 1928, na kufariki Oktoba 9, 1967, Bolivia, milimani mwa La Higuera. Chanzo cha kifo chake: Kuuawa kwa kupigwa

THREAD⚡ 🧵 

⚡HISTORIA FUPI YA CHE GUEVARA

Jina kamili: Ernesto "Che" Guevara.
Kazi yake: Daktari na mwanamapinduzi wa kijamaa (Marxist).
Alizaliwa Argentina, Juni 14, 1928, na kufariki Oktoba 9, 1967, Bolivia, milimani mwa La Higuera.
Chanzo cha kifo chake: Kuuawa kwa kupigwa
Van Mersey (@van_mersey) 's Twitter Profile Photo

Katika hali isiyo tegemewa Mwaka 2007 ndio mwaka wa anguko la Nokia, ambayo ilikuwa ni kipindi cha mwisho cha kampuni hiyo kuwa kiongozi mkubwa wa simu duniani, na duniani ilijulikana kama mabadiliko makubwa katika sekta ya teknolojia na simu za mkononi. Wakati iPhone

Katika hali isiyo tegemewa Mwaka 2007 ndio mwaka wa anguko la Nokia, ambayo ilikuwa ni kipindi cha mwisho cha kampuni hiyo kuwa kiongozi mkubwa wa simu duniani, na duniani ilijulikana kama mabadiliko makubwa katika sekta ya teknolojia na simu za mkononi. 

Wakati iPhone
M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Kiwango chako cha juu kabisa cha kudhalilika kutokana na umaskini wako ilikua ni nini? Inaweza kuwa kumbukumbu mbaya ila ilikufunza sana.

UDSM ICON (@udsm_icon) 's Twitter Profile Photo

HIZI HAPA SITE AU APP ZA KU- DOWNLOADIA MOVIE NA SERIES KALI BURE KABISA. Hapa utachagua ni quality gani unataka👇 Ipi ambayo imesahaulika hapa? Thread 🧵

HIZI HAPA SITE AU APP ZA KU- DOWNLOADIA MOVIE NA SERIES KALI BURE KABISA. 

Hapa utachagua ni quality gani unataka👇

Ipi ambayo imesahaulika hapa?

Thread 🧵
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia utitiri wa makanisa yakiota kama uyoga barani Afrika Wakati sehemu ya makanisa haya yalikuwepo kwa kipindi kirefu huko nyuma, mengi yao ni mapya kabisa na hayajulikani Uzi👇 KUHANI MLAGHAI

Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia utitiri wa makanisa yakiota kama uyoga barani Afrika

Wakati sehemu ya makanisa haya yalikuwepo kwa kipindi kirefu huko nyuma, mengi yao ni mapya kabisa na hayajulikani

Uzi👇

KUHANI MLAGHAI