Tanzania Media Women (@tamwa_) 's Twitter Profile
Tanzania Media Women

@tamwa_

A peaceful Tanzanian society which respects human rights from a gender perspective. #ZuiaUkatili #WanawakeWanaweza

ID: 1274843022

linkhttp://www.tamwa.org calendar_today17-03-2013 12:30:10

11,11K Tweet

14,14K Followers

643 Following

Tanzania Media Women (@tamwa_) 's Twitter Profile Photo

Mabadiliko. Mkutano Mkuu wa Wanachama wa TAMWA sasa utafanyika Juni 27 &28. Muda huu unatoa fursa kwako mwanachama kujiandaa na wewe mwanahabari mwanamke kuchukua muda huu kuomba uanachama. #TamwaAGM

Tunapompa mtoto wa kike elimu, tunavunja mnyororo wa ndoa za utotoni na ukatili. Mshike mkono, si kumzuia. TECMN Tanzania Msichana Initiative #VunjaUkimya #ZuiaUkatili #MsichanaAsome #StopChildMarriage

Tanzania Media Women (@tamwa_) 's Twitter Profile Photo

Leo Juni 16, TAMWA inaungana na Watanzania na Waafrika wote kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Tunahimiza jamii kuzingatia bajeti na mipango kwa ajili ya kusimamia haki za watoto. #VunjaUkimya #ZuiaUkatili #samia

Leo, Juni 17, 2025, TAMWA kwa kushirikiana na Mtandao wa kupinga ndoa za utotoni kimeadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika Maadhimisho hayo yamebeba kaulimbiu isemayo Tulipotoka, Tulipo, na Tuendako, ikilenga kutathmini maendeleo na changamoto katika kulinda haki na ustawi wa mtoto.