TAMWA Zanzibar (@tamwa_zanzibar) 's Twitter Profile
TAMWA Zanzibar

@tamwa_zanzibar

TAMWA Zanzibar is a non-partisan not for profit sharing, non-Governmental professional membership organization. #MwanamkeNiKiongozi #ZuiaUkatiliZanzibar

ID: 855043886313594887

linkhttp://www.tamwaznz.or.tz calendar_today20-04-2017 13:02:03

3,3K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

TAMWA Zanzibar (@tamwa_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Saratani ya mlango wa shingo ya kizazi inaweza kuzuilika iwapo tutachukua hatua mapema. Tuihamasishe jamii kuwa na utamaduni wa kupima afya mara kwa mara. Fanya uchunguzi – linda maisha yako. #SRHR #PimaMapema #AfyaYakoNiUhai

TAMWA Zanzibar (@tamwa_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Sheikh Abeid Amani Karume (7 Aprili 1972), tunakumbuka siyo tu uongozi wake wa kishujaa ulioliletea taifa uhuru na mwelekeo mpya, bali pia mchango wake katika kuweka msingi wa usawa wa kijinsia. Kupitia sera zake za elimu bure, fursa za kazi

Katika kumbukizi ya kifo cha Hayati Sheikh Abeid Amani Karume (7 Aprili 1972), tunakumbuka siyo tu uongozi wake wa kishujaa ulioliletea taifa uhuru na mwelekeo mpya, bali pia mchango wake katika kuweka msingi wa usawa wa kijinsia.

Kupitia sera zake za elimu bure, fursa za kazi
TAMWA Zanzibar (@tamwa_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. TAMWA ZNZ yafarijika na uamuzi wa ZEC wa kutoa punguzo la ada kwa wanawake wagombea. @juwauza Pegao104 @zafela_zanzibar #mwanamkenikiongozi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
TAMWA ZNZ yafarijika na uamuzi wa ZEC wa kutoa punguzo la ada kwa wanawake wagombea.
@juwauza
<a href="/pegao104/">Pegao104</a>
@zafela_zanzibar
#mwanamkenikiongozi
TAMWA Zanzibar (@tamwa_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya Miaka 61 ya Muungano 🤝 wa Tanganyika na Zanzibar! TAMWA-ZNZ inaungana na Watanzania wote kuadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa kuendelea kuhimiza haki, usawa na maendeleo kwa wote. #Muungano61 #KheriYaMuungano #TAMWAZNZ

Kheri ya Miaka 61 ya Muungano 🤝 wa Tanganyika na Zanzibar!

TAMWA-ZNZ inaungana na Watanzania wote kuadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa kuendelea kuhimiza haki, usawa na maendeleo kwa wote.
#Muungano61 #KheriYaMuungano #TAMWAZNZ
TAMWA Zanzibar (@tamwa_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. TAMWA ZNZ, ZAFELA, JUWAUZA na PEGAO wanahimiza wanawake kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi ndani ya vyama vyao. #mwanamkenikiongozi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

TAMWA ZNZ, ZAFELA, JUWAUZA na PEGAO wanahimiza wanawake kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi ndani ya vyama vyao.

#mwanamkenikiongozi
TAMWA Zanzibar (@tamwa_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA VYOMBO HABARI Majaji waanza kuchambua kazi za waandishi na kukagua vyombo vya habari kwa ajili ya Tuzo za Uwiano wa Kijinsia kwa mwaka 2025. #mwanamkenikiongozi

TAARIFA KWA VYOMBO HABARI

Majaji waanza kuchambua kazi za waandishi na kukagua vyombo vya habari kwa ajili ya Tuzo za Uwiano wa Kijinsia kwa mwaka 2025.

#mwanamkenikiongozi
TAMWA Zanzibar (@tamwa_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 3 Mei 2025, TAMWA ZNZ imefanya Mkutano Mkuu wa Wanachama katika ofisi zake Tunguu, Unguja. Mkutano huu muhimu ulitanguliwa na mafunzo ya siku moja yaliyofanyika tarehe 2 Mei kuhusu masuala ya fedha na uwekezaji kutoka kwa Taasisi ya Serikali ya UTT AMIS Looktarn.amis na

Leo tarehe 3 Mei 2025, TAMWA ZNZ imefanya Mkutano Mkuu wa Wanachama katika ofisi zake Tunguu, Unguja. 

Mkutano huu muhimu ulitanguliwa na mafunzo ya siku moja yaliyofanyika tarehe 2 Mei kuhusu masuala ya fedha na uwekezaji kutoka kwa Taasisi ya Serikali ya UTT AMIS <a href="/utt/">Looktarn</a>.amis  na
TAMWA Zanzibar (@tamwa_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Wataalam wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) wameadhimisha siku ya Uhuru wa Habari Duniani leo tarehe 17 May 2025 katika ukumbi wa Rahaleo Studio. Lengo la Maadhimisho hayo ni kutathmini na kujadili hali halisi ya waandishi na vyombo vya habari inavyokwenda kwa upande wa

Wataalam wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) wameadhimisha siku ya Uhuru wa Habari Duniani leo tarehe 17 May 2025 katika ukumbi wa Rahaleo Studio. 

Lengo la Maadhimisho hayo ni kutathmini na kujadili hali halisi  ya waandishi na vyombo vya habari  inavyokwenda kwa upande wa
TAMWA Zanzibar (@tamwa_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Sauti zenye maarifa, nguvu ya mabadiliko! 🎥📢 Leo tumekamilisha mafunzo kwa wazalishaji wa maudhui ya mitandaoni kutoka Unguja na Pemba. TAMWA Zanzibar tumeandaa mafunzo haya juu ya uongozi wa wanawake na haki za kidemokrasia ili kuongeza nguvu katika mitandao ya kijamii kwa

Sauti zenye maarifa, nguvu ya mabadiliko! 🎥📢

Leo tumekamilisha mafunzo kwa wazalishaji wa maudhui ya mitandaoni kutoka Unguja na Pemba. TAMWA Zanzibar tumeandaa mafunzo haya juu ya uongozi wa wanawake na haki za kidemokrasia ili kuongeza nguvu katika mitandao ya kijamii kwa