
TBC DIGITAL
@tbconlinetz
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). TBC kiganjani mwako, usipitwe #ukwelinauhakika
ID: 2306274450
http://www.tbc.go.tz 23-01-2014 09:37:16
27,27K Tweet
132,132K Followers
16 Following

Rais wa Jamhuri ya Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah akikaribishwa nchini Tanzania kwa kukabidhiwa maua, ikiwa ni ishara ya upendo wa Watanzania kwa Rais huyo ambaye ameanza ziara yake ya kiserikali ya siku mbili hapa nchini 📸 Said Pichadunia


Rais wa Jamhuri ya Namibia, Netumbo Nandi -Ndaitwah akionesha ishara ya kuwashukuru watu mbalimbali waliojitokeza katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kumlaki ikiwa ni siku yake ya kwanza ya ziara yake nchini. 📸 Said Pichadunia














