Tanzania Forest Services Agency
@tfsagency
Established on 30th July, 2010 aims at improving the delivery of public services related to sustainable supply of quality forest and bee products and services
ID: 815876097292304385
http://www.tfs.go.tz 02-01-2017 11:03:14
513 Tweet
8,8K Followers
376 Following
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi akiwa ameambatana na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi Tanzania Forest Services Agency (TFS) Prof. dos Santos Silayo wametembelea na kukagua maonesho maalumu ya ambayo yanaonyesha mnyororo wa thamani wa Sekta ya Misitu ktk viwanja vya Saba Saba Mjini Njombe. Mgeni
๐๐ข๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐๐๐ฌ๐๐ค๐ ๐๐๐ ๐๐ฆ๐๐ ๐ข๐ฆ๐๐ฐ๐๐ค๐! Watalii kutoka ndani na nje ya nchi wamechagua Hifadhi ya Mazingira Asilia ya Magamba kama sehemu yao ya kusherehekea, wakifurahia mandhari ya kijani, hewa safi na utulivu wa kipekee wa msitu. Karibu Magamba