THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile
THRDCOALITION

@thrdcoalition

Ensuring maximum Security & Protection for all Human Rights Defenders (HRDs) in the United Republic of Tanzania. (Tanzania Mainland and Zanzibar) since 2012.

ID: 518312225

linkhttps://thrdc.or.tz/ calendar_today08-03-2012 08:29:28

4,4K Tweet

15,15K Followers

1,1K Following

THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

“ Uchaguzi ni mchakato muhimu sana katika nchi yoyote ya kidemokrasia, na moja ya wadau muhimu katika uchaguzi ni waandishi wa Habari. Kama #wadau tunao wajibu mkubwa sana katika kufanikisha hilo kwani Kushindwa kuutimiza wajibu wetu kama waandishi katika utoaji wa habari na

“ Uchaguzi ni mchakato muhimu sana katika nchi yoyote ya kidemokrasia, na moja ya wadau muhimu katika  uchaguzi ni waandishi wa Habari. 

Kama #wadau tunao wajibu mkubwa sana katika kufanikisha hilo  kwani Kushindwa kuutimiza wajibu wetu kama waandishi katika utoaji wa habari na
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

“Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDCOALITION), Wakili Onesmo Olaigwanani-Olengurumwa, Adv, ashauri Serikali kukaa meza moja na wadau wote wa uchaguzi, wakiwemo vyama vya siasa, waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu na asasi za kiraia (CSOs), ili

“Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (<a href="/THRDCOALITION/">THRDCOALITION</a>), Wakili Onesmo <a href="/OlengurumwaO/">Olaigwanani-Olengurumwa, Adv</a>, ashauri Serikali kukaa meza moja na wadau wote wa uchaguzi, wakiwemo vyama vya siasa, waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu na asasi za kiraia (CSOs), ili
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

Afisa Miradi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDCOALITION), Wakili Eva Mwambungu, akikabidhi jeketi za usalama kwa waandishi wa habari, hafla iliyofanyika 02.05.2025 kwa lengo la kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari na usalama kuelekea uchaguzi Mkuu 2025,

Afisa Miradi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (<a href="/THRDCOALITION/">THRDCOALITION</a>), Wakili Eva Mwambungu, akikabidhi jeketi za usalama kwa waandishi wa habari, hafla iliyofanyika 02.05.2025 kwa lengo la kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari na usalama kuelekea uchaguzi Mkuu 2025,
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

THRDC Trains 150 Journalists and Distributes 650 Press Jackets to Promote Safe, Ethical Reporting Ahead of 2025 Elections. As Tanzania approaches the 2025 #GeneralElections, the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDCOALITION) has intensified its efforts to build the

THRDC Trains 150 Journalists and Distributes 650 Press Jackets to Promote Safe, Ethical Reporting Ahead of 2025 Elections.

As Tanzania approaches the 2025 #GeneralElections, the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (<a href="/THRDCOALITION/">THRDCOALITION</a>) has intensified its efforts to build the
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

*Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania* Leo Mei 05, 2025 Mratibu wa Kitaifa THRDC, Wakili Onesmo Olengurumwa na Wakili Paul Kisabo Mkuu wa Idara ya Utetezi THRDC wamefanya ziara ya

*Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania*

Leo Mei 05, 2025 Mratibu wa Kitaifa THRDC, Wakili Onesmo Olengurumwa na Wakili Paul Kisabo Mkuu wa Idara ya Utetezi THRDC wamefanya ziara ya
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

*THRDC inatoa Mafunzo Maalumu ya Ufuatiliaji na Utoaji wa Taarifa za Matukio ya Haki za Binadamu kwa Watetezi wa Haki za Binadamu* Leo Mei 8, 2025 Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeanza kutoa mafunzo ya siku mbili kwa Watetezi wa Haki za Binadamu

*THRDC inatoa Mafunzo Maalumu ya Ufuatiliaji na  Utoaji wa Taarifa za Matukio ya  Haki za Binadamu kwa Watetezi wa Haki  za Binadamu*

Leo  Mei  8, 2025 Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)  umeanza kutoa mafunzo ya siku mbili kwa Watetezi wa  Haki za Binadamu
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

*THRDC Conducts Training on Monitoring and Reporting Human Rights Violations for Grassroot Human Rights Defenders and Zonal Coordinating Units* The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) is conducting a two day training for grassroot human rights defenders and THRDC

*THRDC Conducts Training on Monitoring and Reporting Human Rights Violations for Grassroot Human Rights Defenders and Zonal Coordinating Units*

The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) is conducting a two day training for grassroot human rights defenders and THRDC
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

Natoa wito kwa Mashirika ya Watetezi wa Haki za Binadamu yatakayo omba vibali vya kuwa waangalizi wa uchaguzi kwamba, kabla ya kuomba kibali ni muhimu wakazungumza na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu mapungufu ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025

Today 09 May, 2025, Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) via Defenders with Disability, successfully conducted a comprehensive training for Grassroots Human Rights Defenders (HRDs) and Zonal Coordinators Unit (ZCU) on the critical role they play in promoting

*THRDC Participates in CoRI’s Strategic Planning Meeting in Dar es Salaam* Today, 12th May 2025, Adv. Paul Kisabo, Head of Protection Programs at the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC), participated in a high-level strategic meeting of the Coalition on the Right

*THRDC Participates in CoRI’s Strategic Planning Meeting in Dar es Salaam*

Today, 12th May 2025, Adv. Paul Kisabo, Head of Protection Programs at the Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC), participated in a high-level strategic meeting of the Coalition on the Right
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

🔹 ZIARA YA SMAUJATA KATIKA OFISI ZA THRDC – 12 MEI 2025 🔹 Leo, tarehe 12 Mei 2025, Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA) ilifanya ziara rasmi katika ofisi za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) jijini Dar es Salaam, kwa lengo la

🔹 ZIARA YA SMAUJATA KATIKA OFISI ZA THRDC – 12 MEI 2025 🔹

Leo, tarehe 12 Mei 2025, Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA) ilifanya ziara rasmi katika ofisi za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) jijini Dar es Salaam, kwa lengo la
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

It was an honor for THRDC to join the opening of the Media Sustainability training jointly organized by WAN-IFRA, MISA-TAN, and THRDC. Shaping the public Agenda "Addressing Media Media Sustainability in Today's Economic Landscape" 50 media managers and editors from across

It was an honor for THRDC to join the opening of the Media Sustainability training jointly organized by WAN-IFRA, MISA-TAN, and THRDC. Shaping the public Agenda "Addressing Media Media Sustainability in Today's Economic Landscape"

50 media managers and editors from across
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

*KAMATI YA ZANZIBAR MEDIA COMMITTEE (ZAMECO) YAKUTANA KUJADILI MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA HABARI DUNIANI (WPFD)* Leo 13 Mei 2025 – Kamati ya Habari ya Zanzibar (Zanzibar Media Committee – ZAMECO) imekutana katika ofisi za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Zanzibar kwa

*KAMATI YA ZANZIBAR MEDIA COMMITTEE (ZAMECO) YAKUTANA KUJADILI MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA HABARI DUNIANI (WPFD)*

Leo 13 Mei 2025 – Kamati ya Habari ya Zanzibar (Zanzibar Media Committee – ZAMECO) imekutana katika ofisi za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Zanzibar kwa
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

“Media holds the power to shape what reaches the community and not the other way around. It’s time for media to step up, stay relevant, and focus on constructive reporting that drives economic sustainability.” – Adv. Onesmo Olengurumwa, THRDC National Coordinator

“Media holds the power to shape what reaches the community and not the other way around. It’s time for media to step up, stay relevant, and focus on constructive reporting that drives economic sustainability.”
– Adv. Onesmo Olengurumwa, THRDC National Coordinator
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

Statement on the Arbitrary Arrest and Detention of Advocates Martha Karua, Gloria Kimani, and Lyn Ngugi at Julius Nyerere International Airport The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) strongly condemns the #arbitrary #arrest and #detention of Advocate #MarthaKarua,

Statement on the Arbitrary Arrest and Detention of Advocates Martha Karua, Gloria Kimani, and Lyn Ngugi at Julius Nyerere International Airport

The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) strongly condemns the #arbitrary #arrest and #detention of Advocate #MarthaKarua,
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

*Statement on the Arbitrary Arrest and Detention of Advocates Martha Karua, Gloria Kimani, and Lyn Ngugi at Julius Nyerere International Airport* The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) strongly condemns the arbitrary arrest and detention of Advocate Martha Karua,

*Statement on the Arbitrary Arrest and Detention of Advocates Martha Karua, Gloria Kimani, and Lyn Ngugi at Julius Nyerere International Airport*

The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) strongly condemns the arbitrary arrest and detention of Advocate Martha Karua,
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

Statement on the Arbitrary Arrest and Detention of Advocates Martha Karua, Gloria Kimani, and Lyn Ngugi at Julius Nyerere International Airport

Statement on the Arbitrary Arrest and Detention of Advocates Martha Karua, Gloria Kimani, and Lyn Ngugi at Julius Nyerere International Airport
THRDCOALITION (@thrdcoalition) 's Twitter Profile Photo

🌍 Update on Strategic Collaboration with Comunità Solidali nel Mondo ONLUS Dear Team, Today, we had a productive and insightful meeting with representatives from Comunità Solidali nel Mondo ONLUS, an Italian-based NGO working extensively in Tanzania on disability inclusion and

🌍 Update on Strategic Collaboration with Comunità Solidali nel Mondo ONLUS

Dear Team,

Today, we had a productive and insightful meeting with representatives from Comunità Solidali nel Mondo ONLUS, an Italian-based NGO working extensively in Tanzania on disability inclusion and