TPHPA (@tphpa_official) 's Twitter Profile
TPHPA

@tphpa_official

Akaunti Rasmi ya Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA)

ID: 1397501038345736193

linkhttps://www.tphpa.go.tz calendar_today26-05-2021 10:33:22

430 Tweet

659 Followers

43 Following

TPHPA (@tphpa_official) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) inawatakia Watanzania wote Pasaka Njema iliyojaa amani, upendo, furaha na mshikamano. Tuwe na wakati wa kutafakari, kushukuru na kuendelea kuombea ustawi wa taifa letu.

TPHPA inawatakia Watanzania Heri ya Maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar! Tujenge Taifa lenye afya bora ya mimea na mazingira salama.

April 25,2025 TPHPA yashiriki Kongamano la Pembejeo Mbeya kuhamasisha matumizi sahihi na salama ya viuatilifu. Wakulima waaswa kuzingatia matumizi bora kwa afya na usalama wa chakula.

April 26,2025 Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Jojo, Mbeya, wakipatiwa elimu ya matumizi sahihi ya viuatilifu kutoka TPHPA katika maonesho ya Wakulima Festival. Lengo ni kuwajengea uwezo wa kufanya kilimo bora na chenye tija.

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Maryprisca Mahundi, ametembelea banda la TPHPA katika maonesho ya Wakulima Festival Mbeya, ambapo amepongeza jitihada za Mamlaka katika kuinua kilimo Nchini

Prof. Joseph Ndunguru, Mkurugenzi Mkuu wa TPHPA, ameshiriki Mkutano wa 17 wa Basel na mikutano ya 12 ya Rotterdam na Stockholm Conventions huko Geneva (Apr 28–Mei 9, 2025), akisisitiza usimamizi bora wa viuatilifu na taka hatarishi kwa afya na mazingira.

30 Aprili 2025, Prof. Joseph Ndunguru na timu ya BRS Tanzania wakiongozwa na Mhe. Christina Mndeme wamekutana na Balozi Dkt. Abdallah Possi katika Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania, Geneva, kujadili ushirikiano wa kimataifa katika kulinda afya binadamu na mazingira Dhidi ya kemikali

TPHPA inawatakia wafanyakazi wote nchini Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Tunatambua mchango mkubwa wa wafanyakazi katika maendeleo ya sekta ya kilimo na ustawi wa taifa letu. Tuendelee kujenga taifa kwa bidii, maarifa na mshikamano.

Wafanyakazi wa TPHPA wameadhimisha Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) kwa mshikamano na uzalendo katika Uwanja wa Michezo wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Wameendelea kuelimisha umma kuhusu afya ya mimea na matumizi salama ya viuatilifu.

1 Mei 2025,Wafanyakazi wa TPHPA Kanda ya Mashariki wameshiriki Maadhimisho ya Mei Mosi katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, wakiongozwa na Dkt. Sasamalo. Mhe. Chalamila aliwapongeza kwa juhudi zao katika ujenzi wa Taifa.

3 Mei 2025, Prof. Joseph Ndunguru (TPHPA) na Mhe. Christina Mndeme walikutana na Balozi Dkt. Abdallah Possi Geneva kujadili ushirikiano wa kimataifa kuhusu mazingira, tabianchi, afya na kilimo.

TPHPA inawaalika wadau wote kuungana nasi katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Afya ya Mimea Tuelimishe na kulinda afya ya mimea kwa usalama wa chakula na mazingira endelevu.

Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Mimea Dunia yamehitimishwa leo Mei 12, 2025 katika Viwanja vya Makumbusho ya Azimio la Arusha. Wananchi wamepata elimu juu ya Matumizi sahihi na Salama ya viuatilifu na umuhimu wa kulinda afya ya mimea kwa maendeleo ya kilimo.

Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Mimea Duniani yamefanyika leo Mei 12, 2025 katika Viwanja vya Makumbusho ya Azimio la Arusha, Kaulimbiu ya mwaka huu ni Umuhimu wa Afya ya Mimea katika Afya Moja TPHPA imeonesha mafanikio mbalimbali katika usalama wa chakula na masoko ya kimataifa

Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Mimea Duniani yamefanyika leo Mei 12, 2025 katika Viwanja vya Makumbusho ya Azimio la Arusha, Kaulimbiu ya mwaka huu ni Umuhimu wa Afya ya Mimea katika Afya Moja  
TPHPA imeonesha mafanikio mbalimbali katika usalama wa chakula na masoko ya kimataifa
TPHPA (@tphpa_official) 's Twitter Profile Photo

Mei 14, 2025 Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Joseph Mkude, ametembelea ofisi za TPHPA Ngaramtoni, Arusha na kujionea shughuli za kisayansi, upimaji wa viuatilifu na elimu kwa wakulima. Amewapongeza TPHPA kwa mchango wao katika usalama wa chakula na maendeleo ya kilimo nchini.

Mafunzo ya 62 ya matumizi sahihi na salama ya viuatilifu yameanza leo 19 Mei 2025, TPHPA Ngaramtoni, Arusha. Yanalenga kuwajengea ujuzi wakulima na wafanyabiashara wa viuatilifu nchini.

Mei 23,2025 Wataalamu wa Maabara na Mimea wa TPHPA wamechukua sampuli za maji na gugu maji Ziwa Victoria - Mwanza kwa utafiti wa kina kuhusu athari zake kwa ikolojia, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulitokomeza kabisa gugu hilo hatarishi.

Mei 22,2025 TPHPA yakabiliana na mlipuko wa kweleakwelea Mvomero na Kilosa, Morogoro. Operesheni za pamoja na DLCO-EA zasadia kuokoa mashamba ya mpunga na kulinda usalama wa chakula.