Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile
Ofisi ya Waziri Mkuu

@tzwazirimkuu

The official Twitter page of the Prime Minister's Office Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Ofisi ya Waziri Mkuu

ID: 1173638808790851585

linkhttp://www.pmo.go.tz calendar_today16-09-2019 16:45:03

3,3K Tweet

83,83K Followers

4 Following

Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2025 ameshiriki kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu hayati Cleopa David Msuya katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewasili nchini Ivory Coast kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa Africa unaoanza leo Mei 12, 2025 jijini Abidjan. Bofya link kusoma hapa 👇🏿 whatsapp.com/channel/0029Va…

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewasili nchini Ivory Coast kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa Africa unaoanza leo Mei 12, 2025 jijini Abidjan.

Bofya link kusoma hapa 👇🏿

whatsapp.com/channel/0029Va…
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa Africa ulioanza leo Mei 12, 2025. Bofya link kusoma zaidi 👇🏿 whatsapp.com/channel/0029Va…

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu wa Africa ulioanza leo Mei 12, 2025.

Bofya link kusoma zaidi 👇🏿

whatsapp.com/channel/0029Va…
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye ufunguzi wa Mkutano wa siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu barani Afrika ulioanza leo Mei 12, 2025, katika ukumbi wa hoteli ya Sofitel jijini Abidjan, Ivory Coast.

Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI INAITHAMINI SEKTA BINAFSI - WAZIRI MKUU   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazofanya kazi kwa karibu sana na sekta binafsi ili kukuza uchumi na kuleta maendeleo kwa wananchi wake.

Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  (Kazi Maalum), Kapteni Mstaafu George Mkuchika, bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2025.

MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI ▪️Awataka wasanii wawekeze zaidi katika sanaa ili kuongeza wigo wa ajira   bofya link kusoma zaidi 👇🏿 whatsapp.com/channel/0029Va…

MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI

▪️Awataka wasanii wawekeze zaidi katika sanaa ili kuongeza wigo wa ajira
 
bofya link kusoma zaidi 👇🏿

whatsapp.com/channel/0029Va…
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

MAJALIWA AZINDUA MRADI WA MAJI HUNGUMALWA. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Leo Mei 18, 2025 amezindua mradi wa Maji wa Hungu Malwa uliopo Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza ambao utafikisha huduma kwa wananchi elfu 24000. Bofya link kusoma zaidi 👇🏿 whatsapp.com/channel/0029Va…

MAJALIWA AZINDUA MRADI WA MAJI HUNGUMALWA.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Leo Mei 18, 2025 amezindua mradi wa Maji wa Hungu Malwa uliopo Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza ambao utafikisha huduma kwa wananchi elfu  24000.

Bofya link kusoma zaidi 👇🏿

whatsapp.com/channel/0029Va…
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI IPO KAZINI NA INAENDELEA KUFANYAKAZI-MAJALIWA   WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali ipo kazini na inaendelea kufanyakazi ya kuwahudumia na kuwatumikia wananchi katika maeneo yote. Bofya link kusoma zaidi 👇🏿 whatsapp.com/channel/0029Va…

SERIKALI IPO KAZINI NA INAENDELEA KUFANYAKAZI-MAJALIWA
 
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali ipo kazini na inaendelea kufanyakazi ya kuwahudumia na kuwatumikia wananchi katika maeneo yote.

Bofya link kusoma zaidi 👇🏿

whatsapp.com/channel/0029Va…
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

MAJALIWA: SERIKALI IMEJIPANGA KUDHIBITI MAGUGUMAJI ZIWA VICTORIA   WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha changamoto ya uwepo wa magugumaji katika ziwa Victoria inapatiwa ufumbuzi.

Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejizatiti katika kupunguza changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi zikiwemo za sekta ya elimu. Bofya kusoma zaidi 👇🏿 whatsapp.com/channel/0029Va…

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejizatiti katika kupunguza changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi zikiwemo za sekta ya elimu.

Bofya kusoma zaidi 👇🏿
whatsapp.com/channel/0029Va…
Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

Tumejizatiti kupunguza changamoto zinazowakabili wananchi zikiwemo za sekta ya elimu-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 🗓️Jumatatu, Mei 19, 2025 📍Sengerema-Mwanza.

Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MAONESHO YA WORLD EXPO 2025 OSAKA, JAPAN Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 23, 2025 amewasili Osaka nchini Japan kumwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maonesho ya kimataifa ya Osaka (World Expo 2025 Osaka)

Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu amuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya Siku ya Tanzania kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Osaka (World Expo Osaka 2025) Japan. ▪️Asisitiza Tanzania ni mahali salama kwa uwekezaji

Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

MAJALIWA: SERIKALI ITAENDELEZA MIKAKATI YA KUWAUNGANISHA WAFANYABIASHARA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea na mikakati ya kuwaunganisha wafanyabiashara wa Tanzania na wa Mataifa mbalimbali duniani ili kuwawezesha kunufaika na fursa katika mataifa hayo.