taasisiyamifupa_MOI (@taasisiyamifupa) 's Twitter Profile
taasisiyamifupa_MOI

@taasisiyamifupa

Ukarasa rasmi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili-MOI

ID: 984788833630814208

linkhttp://www.moi.ac.tz calendar_today13-04-2018 13:42:09

1,1K Tweet

19,19K Followers

54 Following

taasisiyamifupa_MOI (@taasisiyamifupa) 's Twitter Profile Photo

“Nashukuru sana kwa huduma zenu ni nzuri na zinatusaidia hasa watanzania wa hali ya chini, tunamshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa kwa kwajili ya huduma hii inayotusaidia” Vicky Elligius Mkazi wa Arusha

taasisiyamifupa_MOI (@taasisiyamifupa) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuendesha kliniki maalum ya kibobezi ya matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba kwa mwaka 2025.

Je ungependa kupata elimu kuhusu lishe bora? Karibu katika banda la MOI katika Maonesho ya Sabasaba 2025 upate elimu ya lishe bora bure.

Je ungependa  kupata elimu kuhusu lishe bora?

Karibu katika banda la MOI katika Maonesho ya Sabasaba 2025 upate elimu ya lishe bora bure.
taasisiyamifupa_MOI (@taasisiyamifupa) 's Twitter Profile Photo

Je unapata maumivu makali ya Mgongo, Ubongo na Mishipa ya Fahamu? Karibu kliniki kwenye banda la MOI katika Maonesho ya Sabasaba 2025 upate matibabu. Kliniki ya MOI inapatikana katika banda namba 12 Barabara ya Biashara Avenue karibu na banda la Woiso.

Je unapata maumivu makali ya Mgongo, Ubongo na Mishipa ya Fahamu?

Karibu kliniki kwenye banda la MOI katika Maonesho ya Sabasaba 2025 upate matibabu.

Kliniki ya MOI inapatikana katika banda namba 12 Barabara ya Biashara Avenue karibu na banda la Woiso.
taasisiyamifupa_MOI (@taasisiyamifupa) 's Twitter Profile Photo

Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote heri ya siku ya Sabasaba 2025.

“Nawashukuru wafanyakazi wa MOI kwa moyo wa upendo wa kuendelea kuwahudumia wananchi katika maonesho ya 49 ya kitaifa ya biashara (Sabasaba)” Dkt. Marina Njelekela Mwenyekiti Bodi ya Wadhamini- MOI

taasisiyamifupa_MOI (@taasisiyamifupa) 's Twitter Profile Photo

"Tumia dawa kwa ushauri wa mtaalam wa afya, hakikisha unamaliza dawa kila mara na usishiriki dawa na mtu mwingine". Bw. Fortunatus Kossey Mfamasia- MOI