Tabibu 🥼 (@tabibuw) 's Twitter Profile
Tabibu 🥼

@tabibuw

Qualified Clinician 🥼 || Simba SC || Extrovert 🤞🏽|| Sports ⚽|| Betting 💰|| Games

ID: 1595707280393134082

calendar_today24-11-2022 09:14:27

19,19K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

' Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu. Repost...Repost.... Repost 🫂

'
Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu.

Repost...Repost.... Repost 🫂
Fundi viatu na mabegi 🇹🇿 (@mshona_viatu) 's Twitter Profile Photo

Basi Mungu wa tumaini na awajaze ninyi furaha yote na amani katika kuamini, mpate kuzidi sana kuwa na tumaini katika nguvu za roho mtakatifu. Happy sunday wasakatonge wenzangu katika Mungu 🙏🏽

Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Nimeota nipo Marekani tunapiga story na Elon Musk ghafla akatokea Trump akaanza Kuniita Mara tatu Fumbokhan fumbokhan fumbokhan hii ndoto Ina maanisha nini??

ELFUJEROOO…!!! (@bukujero_1500) 's Twitter Profile Photo

Mimi mwanangu wa kike akiniaga anaenda kwa mamdogo au ndugu yoyote siwezi kumruhusu, siwezi kuwa fala, mbinu hii hii ndo nilitumia kumla mama ake. 😂

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Taarifa ya Mbosso kurudi upya kesho imetangazwa muda mrefu na media nyingi zinaripoti, Leo Diamond amesema anatoa ngoma na Bien, Wakuu hapa vipi? Diamond amekabia kwa juu kuzima Kiki ya Mbosso au mnasemaje 👀

Mzee wa Chuki 🤬 (@papiikhan98) 's Twitter Profile Photo

Kipindi napiga bodaboda Kuna demu mmoja Dodoma alinituma Supermarket nikamletee Broccoli....Nikafika nikamwambia hivyo vitu hamna "Akaniuliza ni kwamba hamna au hujui ni kitu gani??"" Aise nilicheka kwasababu alisema ukweli.😂😂😂😂😂🙌💔

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Siku ile gari iliyobeba Boat wakifika Kitonga watu watalia sana, Kutakuwa na foleni sana mana hakuna gari itakayo ruhusiwa kushuka wala kupanda. Nais watatoa taarifa siku moja kabla ili watu wajiandae

samwel Rashid (@wakanda_republi) 's Twitter Profile Photo

Lile kombe la jana Angebeba Argentina, Messi angetajwa sana kwenye Ballon d or😀. Jumlisha vinamba vya CR7 huko Saudia!! Wazee wa PA tunawajua

samwel Rashid (@wakanda_republi) 's Twitter Profile Photo

Sema wachezaji wa Ureno wanampenda sana CR7. Ukiangalia namna walivyokuwa Wana idiolize🙌.. Naona kama wale wa Argentina na Messi 2022.

Geeee❤️ (@kimsuretz) 's Twitter Profile Photo

Huyu shemeji yenu Nimeangalia Wallet yake nikakuta Ana 5k Sasa Nikamwekea 50k Jinsi anifanyiavyo Mimi eti Kaniambia Acha Mambo Yako Bhna na kanirudishia Hela 🤗

Billy (@billytronix1) 's Twitter Profile Photo

Watu wanaonaga tunafanya delivery ya vitu kwenye bodaboda huwa wanatuona kama wajinga hivi !!kumbe wajinga ni wao 😂😂😂😂😂

samwel Rashid (@wakanda_republi) 's Twitter Profile Photo

Kwaio huyu aliepiga simu alihusika kwenye sababu zipi kati ya zile 2. a) rushwa b) Hali ya usalama Kwasababu bodi walihairisha mchezo kwasababu zao ila leo tunaambiwa kumbe ni simu ilipigwa kutoka juu. Ndio maana nilisema zile sababu za bodi ya ligi ni sababu za "KUPIKA".