
TAIFA STARS
@taifastars_
Official Twitter Account for Tanzania Football National team ⚽️
ID: 785578744815636480
http://www.tff.or.tz 10-10-2016 20:32:22
979 Tweet
59,59K Followers
16 Following

CECAFA 3 Nations Tournament HT’Tanzania 🇹🇿 1️⃣ - 0️⃣ 🇺🇬 Uganda ⚽️Nado Cecafaonline @taifastars_


CECAFA 3 Nations Tournament 47’ Tanzania 🇹🇿 1️⃣ - 0️⃣ 🇺🇬 Uganda ⚽️Nado Cecafaonline TAIFA STARS


CECAFA 3 Nations Tournament 60’ Tanzania 🇹🇿 1️⃣ - 0️⃣ 🇺🇬 Uganda ⚽️Nado Cecafaonline TAIFA STARS


CECAFA 3 Nations Tournament FT’ Tanzania 🇹🇿 1️⃣ - 0️⃣ 🇺🇬 Uganda ⚽️Nado Cecafaonline TAIFA STARS


Matukio mbalimbali ya picha kwenye mchezo wa @taifastars_ vs Uganda Cranes mashindano ya CECAFA ya maandalizi ya fainali za CHAN 2024 @taifastars_


Mechi zote za TAIFA STARS za Kundi B uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Tanzania (Taifa Stars) tunafungua pazia Agosti 2, 2025 vs Burkina Faso, Tukutane kwa Mkapa @tanfootball @caf_online @taifastars_




Wachezaji wa Timu ya Taifa ya TAIFA STARS wakiwa kwenye mazoezi kurejesha utimamu wa mwili kujiandaa na mchezo wa pili dhidi ya Senegal mashindano ya CECAFA yanayoshirikisha Nchi tatu ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya fainali za CHAN 2024 @taifastars_


Mechi zote za Kundi B zinazotumia uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Tanzania (Taifa Stars) tunafungua pazia Agosti 2, 2025 vs Burkina Faso, Tukutane kwa Mkapa @tanfootball @caf_online TAIFA STARS




Wachezaji wa Timu ya Taifa ya TAIFA STARS wakiwa kwenye mazoezi uwanja wa Black Rhino, Karatu kujiandaa na mchezo wa pili dhidi ya Senegal mashindano ya CECAFA yanayoshirikisha Nchi tatu ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya fainali za CHAN 2024 @taifastars_


