
TFF TANZANIA
@tanfootball
Official Twitter account of the Tanzania Football Federation. Founded in 1930 and affiliated to FIFA in 1964.
ID: 2281817270
http://www.tff.or.tz 08-01-2014 08:29:49
43,43K Tweet
969,969K Followers
181 Following










Kocha msaidizi wa Timu ya Taifa TAIFA STARS Juma Mgunda akizungumza baada ya mchezo wa pili dhidi ya Eswatini mashindano ya COSAFA 2025 TAIFA STARS

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025, JKT Queens wakivalishwa Medali za ubingwa Ligikuuwanawake


Mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025, JKT Queens baada ya kukabidhiwa Kombe la ubingwa Ligikuuwanawake



Mkurugenzi wa Mashindano TFF, Salum Madadi akizungumza baada ya JKT Queens kukabidhiwa Kombe na Medali za ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025 Ligikuuwanawake


