
Tanzania South Korea
@tanzaniakorea
ID: 952053448295567360
13-01-2018 05:43:25
53 Tweet
580 Followers
12 Following

2019 Korea-Tanzania Business Cooperation Forum about to get underway at Dar es Salaam Serena Hotel Min. of State Prime Min. Office (Investment) Hon. Angellah Kairuki is expected to grace the event.Kotra Dar Es Salaam



Mhe. Balozi Matilda Swilla Masuka akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu Tanzania na Utalii wa Tanzania katika ufunguzi wa "blog" ya Tanzania na Utalii itakayokuwa inatoa taarifa kwa lugha ya Kikorea- Ubalozi wa Tanzania, 20 Aug,2020. Tanzania Unforgettable




Wanafunzi wa darasa la Kiswahili linaloendeshwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Korea wakiimba shairi la "Kama mnataka mali, mtaipata shambani". Wangapi wanalikumbuka shairi hili? Branding Tanzania πΉπΏ Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) @foreigntanzania










πJNICC, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (PhD) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Ambassador Togolani Mavura katika picha ya pamoja na wageni waalikwa katika Warsha ya Kumsherehekea Kijana wa Tofauti iliyofanyika katikaβ¦


It was a great pleasure today to be with Hon. Togolani Mavura, Ambassador of the united republic of Tanzania to the Republic of South Korea at celebrating extraordinary youth at JNICC. We learned & received a lot from him on the Journey to Success. @kamanzi999 Togolani Mavura
