TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile
TARI Tanzania official page

@tanzaniatari

TARI is an institution responsible for all agriculture research activities in Tanzania

ID: 1422081969165324294

linkhttp://tari.go.tz calendar_today02-08-2021 06:29:17

884 Tweet

5,5K Followers

63 Following

TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mheshimiwa Judith Martin Nguli amewataka wakuu wa vituo vya TARI na Mameneja wa idara na vitengo mbalimbali vya TARI kote nchini kuwajibika kwa kufanya kazi kwa bidii zaidi katika majukumu yao ya kila siku ili kuongeza tija zaidi katika sekta ya Kilimo

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kupitia kituo cha TARI Mikocheni imegawa Miche bora ya Minazi aina ya EAST AFRICAN TALL kwa Wakulima 278 katika Mikoa ya Tanga, Lindi na Mtwara. instagram.com/p/DIi7g_aoKpU/… Wizara ya Kilimo Hussein M Bashe ikulu_Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kupitia kituo cha TARI Mikocheni imegawa Miche bora ya Minazi aina ya EAST AFRICAN TALL kwa Wakulima 278 katika Mikoa ya Tanga, Lindi na Mtwara.
instagram.com/p/DIi7g_aoKpU/…
Wizara ya Kilimo Hussein M Bashe ikulu_Tanzania
TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile Photo

TARI tunakutakia Heri katika kuadhimisha Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yenye kaulimbiu; Muungano wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa; Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 @wizara_ya_kilimo bashe hussein @ikulu_habari @ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan

Wadau wa Pamba chini ya mradi wa Cotton Victoria wameanza kujengewa uwezo kuhusu kuongeza tija kwenye zao la pamba kupitia udhibiti wa visumbufu ikiwemo wadudu waharibifu. instagram.com/p/DI_jVPpI_11/… Wizara ya Kilimo Cory Brown Hussein M Bashe

Wadau wa Pamba chini ya mradi wa Cotton Victoria wameanza kujengewa uwezo kuhusu kuongeza tija kwenye zao la pamba kupitia udhibiti wa visumbufu ikiwemo wadudu waharibifu.
instagram.com/p/DI_jVPpI_11/… Wizara ya Kilimo Cory Brown Hussein M Bashe
TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile Photo

Wakulima wa zao la pamba katika Mkoa Mara wahamasika kutumia teknolojia ya nafasi mpya za kupandia (sm 60 mstari hadi mstari na sm 30 shimo hadi shimo huku kila shimo likibaki na miche miwili) pamoja na teknolojia ya kuukatia mmea wa pamba (manual trimming).

Watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wameshiriki katika sherehe ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) iliyofanyika katika Mikoa mbalimbali kitaifa ikiwa imeadhimishwa Mkoani Singida.@wizara_ya_kilimo

Mafunzo kwa maafisa kilimo, watafiti na wadau wengine wa pamba juu ya namna ya kudhibiti visumbufu vinavyosababisha kupungua kwa mavuno. Mafunzo hayo yametolewa na wataalam kutoka Chuo kikuu cha Umma cha Lavras (UFLA) cha nchini Brazil chini ya mradi wa Cotton Victoria. Bonyeza

TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile Photo

Watafiti wa Kilimo kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wameanza Utafiti wa kuchunguza ugonjwa wa vitunguu ujulikanao kwa jina la kienyeji la Kaukau ambao umeripotiwa kuwepo Wilaya Kilolo Mkoa wa Iringa na Malolo Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro.

Wakulima nchini wameshauriwa kulima zao la kibiashara la karafuu ambalo ni maarufu katika visiwa vya Pemba na Ugunja lakini pia linatajwa kufanya vizuri katika baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Tanzania Bara. instagram.com/p/DJi6fbVo8tA/… Hussein M Bashe Wizara ya Kilimo

Wakulima nchini wameshauriwa kulima zao la kibiashara la karafuu ambalo ni maarufu katika visiwa vya Pemba na Ugunja lakini pia linatajwa kufanya vizuri katika baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Tanzania Bara.
instagram.com/p/DJi6fbVo8tA/… Hussein M Bashe Wizara ya Kilimo
TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kupitia kituo cha Utafiti cha TARI Hombolo kilichopo Dodoma imeanza Utafiti wa zao la mitende nchini kama moja kati ya Mazao yanayostahimili kanda kame ili kuongeza tija na kipato kwa Wakulima. instagram.com/p/DJqj0ITocn1/… Hussein M Bashe