
Tanzanite International Animation Festival
@tanzanitefestiv
Tanzanite International Animation Festival | Celebrating storytelling, creativity & innovation in animation!
ID: 1841370171027398656
02-10-2024 06:51:01
54 Tweet
16 Followers
8 Following



Je, wewe ni Animator, Illustrator, VFx, au unahusika na VR/AR? 🌟 Usikose fursa ya kipekee ya kushiriki kwenye Tanzanite International Animation Festival! 💥 Wasilisha kazi zako hapa: filmfreeway.com/Tanzanitefesti… Jitokeze na onyesha kipaji chako! 🖌️ Tuma kabla ya 30/06/2025!
















