Team Magwiji (@teammagwiji) 's Twitter Profile
Team Magwiji

@teammagwiji

Team Magwiji Radio Citizen is a registered welfare association of @RadioCitizenFm fans worldwide #TeamMagwiji

ID: 1206294483727474690

calendar_today15-12-2019 19:27:04

7,7K Tweet

20,20K Followers

9,9K Following

Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Tunapandisha kidude ndani ya #MamboMseto ikiwa ni Jumatano ya kina dada ukipenda WcW edition, ukiwa naye Mzazi Willy M. Tuva Kadot DJ Flash Kenya Ulipo hali vipi ? Unawakilisha mtaa gani? #MamboMseto #RadioNumberOne

Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Leo hii tunapiga gumzo na Dj Kezz msanii wa kike anayefanya vizuri sana katika ulingo wa burudani.Je,ungependa kufahamu nini kutoka kwake? #MsetoWCW #RadioNumberOne

Leo hii tunapiga gumzo na Dj Kezz msanii wa kike anayefanya vizuri sana katika ulingo wa burudani.Je,ungependa kufahamu nini kutoka kwake?

#MsetoWCW
#RadioNumberOne
Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Michoro ya Tattoo yawanyima vijana nafasi ya kujiunga na kikosi cha NYS(Huduma ya Vijana kwa Taifa) #MsetoWCW #RadioNumberOne

Team Magwiji (@teammagwiji) 's Twitter Profile Photo

Hey there! Are you passionate about self help groups and group project development ? Join our vibrant community at Team Magwiji! Share ideas, learn, and connect with like-minded individuals. Click👇 chat.whatsapp.com/Hy5tzEe5IQsCic… to join us and let's make a difference together!

Hey there!

Are you passionate about self help groups and group project development ?

Join our vibrant community at Team Magwiji! Share ideas, learn, and connect with like-minded individuals.

Click👇
chat.whatsapp.com/Hy5tzEe5IQsCic… to join us and let's make a difference together!
Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Karibu ndani ya #MamboMseto furahidei edition na kama kawaida tumekuandalia show itakayo kuburudisha na kukuelimisha isitoshe tunapiga gumzo naye Pish Kari pamoja na Weezdom254 .Je, una swali kwao? #MamboMseto #RadioNumberOne

Karibu ndani ya #MamboMseto furahidei edition na kama kawaida tumekuandalia show itakayo kuburudisha na kukuelimisha isitoshe tunapiga gumzo naye Pish Kari pamoja na Weezdom254 .Je, una swali kwao?

#MamboMseto
#RadioNumberOne
Team Magwiji (@teammagwiji) 's Twitter Profile Photo

Catch Some Team Magwiji members as they take the stage on Citizen TV's Rogaroga show this Saturday! Don't miss the excitement! 📺🎉 #TeamMagwiji #Rogaroga #CitizenTV Simon Wandera Nelson kawawa Gina 🇰🇪 Citizen TV Kenya

Catch Some Team Magwiji members as they take the stage on Citizen TV's Rogaroga show this Saturday! Don't miss the excitement! 📺🎉 #TeamMagwiji #Rogaroga #CitizenTV
Simon Wandera Nelson kawawa Gina 🇰🇪 Citizen TV Kenya
Bonventure Makari (@bonventuremaka4) 's Twitter Profile Photo

Radio Citizen McOdhiambo'Abwao nakwambia hapa nikiwa huko Nairobi nilipiga marufuku ya kukula nyama. Samaki na Omena ndio flavour yangu nikiwa huko. Salimia jambazi mwenzangu @abdimunai , my yf Joan Wangwe Jessy wa Bahrain Ezekiel Elkana Mercy Njeri na Team Magwiji wote wakae ndani

Bonventure Makari (@bonventuremaka4) 's Twitter Profile Photo

Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai Tina Ogal welcome back to the show,we have missed you alot. Salimia @abdimunai with my yf Joan Wangwe akiwa Kaunda Village Lusumu Navakholo sub county, Ofwera wa Sikanga Team Magwiji

Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Karibu ndani ya #MsetoTBT tunapiga hits kali zilizotamba enzi zile. Je, unatupata ukiwa wapi na ni kibao kipi ambacho ungependa tukuchezee ? Kadot DJ Flash Kenya #MsetoTBT #RadioNumberOne

Karibu ndani ya #MsetoTBT tunapiga hits kali zilizotamba enzi zile. Je, unatupata ukiwa wapi na ni kibao kipi ambacho ungependa tukuchezee ?
Kadot DJ Flash Kenya

#MsetoTBT
#RadioNumberOne
Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Ni awamu ya #porojo na JK Kamau Munyua ndani ya makala ya #GoodEveningKenya mibibi na mijizee karibuni nyote kuanzia 8pm -12am. #GoodEveningKenya #RadioNumberOne

Ni awamu ya #porojo na JK Kamau Munyua ndani ya makala ya #GoodEveningKenya mibibi na mijizee karibuni nyote kuanzia 8pm -12am.
#GoodEveningKenya #RadioNumberOne
Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Power blackout experienced in most parts of the country following a system disturbance on the grid; Kenya Power working to restore normal supply

Power blackout experienced in most parts of the country following a system disturbance on the grid; Kenya Power working to restore normal supply