The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile
The Chanzo

@thechanzo

We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105

ID: 1298181821134446594

linkhttps://thechanzo.com/ calendar_today25-08-2020 08:56:33

9,9K Tweet

73,73K Followers

191 Following

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Mazungumzo na Vitali Maembe: Kuondoka ACT Wazalendo, Siasa Nje ya Vyama, ‘No Reforms, No Election’ Ingia youtu.be/vSE5kTD8KVU?si…

Mazungumzo na Vitali Maembe: Kuondoka ACT Wazalendo, Siasa Nje ya Vyama, ‘No Reforms, No Election’

Ingia youtu.be/vSE5kTD8KVU?si…
The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Nape awashukia wanaompinga Samia mitandaoni. "Mama wanaopinga wanafanana na sisimizi, tatizo la sisimizi ukimweka kwenye kifuu cha nazi kilichojaa maji anadhani ni bahari ndio upuuzi wao hapa," alieleza Nape Nnauye kwenye kampeni Tanga.

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Karibu Katika Enzi za Mabavukrasia Ambapo Uhuru wa Kusema Hutegemea Nani Anasema | Maoni Na Richard Mabala (Richard Mabala) Jamani, nilifikiri kwamba nikificha makengeza yangu, hatimaye watu watasahau.   Nilikuwa nimejikita kumaliza riwaya, na asikuambie mtu, riwaya ni

Karibu Katika Enzi za Mabavukrasia Ambapo Uhuru wa Kusema Hutegemea Nani Anasema | Maoni

Na Richard Mabala (<a href="/MabalaMakengeza/">Richard Mabala</a>) 

Jamani, nilifikiri kwamba nikificha makengeza yangu, hatimaye watu watasahau.   Nilikuwa nimejikita kumaliza riwaya, na asikuambie mtu, riwaya ni
The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Samia: Oktoba 29 tutoke wote pamoja tukapige kura Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wafuasi wa CCM na wananchi kwa ujumla kujitokeza kwa pamoja na kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025.

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Polisi: Watuhumiwa Watatu wa Utekaji wa Mwanachuo Wamefariki kwa Kupigwa Risasi na Kujirusha Kutoka Kwenye Gari Polisi mkoa wa Mbeya wameleza kuwa watuhumiwa watatu waliokamatwa kwa tuhuma za kumteka na kumuua mwanafunzi wa chuo cha Mzumbe Shyrose Mahande, wamefariki. Akieleza

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Leo Tujadili Umuhimu wa Kuwasiaidia Watoto Kuelezea Hisia Zao Na Sema Tanzania Leo napenda tuzungumze jambo ambalo mara nyingi halipewi nafasi kwenye malezi: umuhimu wa kuwasaidia watoto kuelezea hisia zao. Wengi wetu tulikua kwenye familia ambako hisia hazikupewa nafasi.

Leo Tujadili Umuhimu wa Kuwasiaidia Watoto Kuelezea Hisia Zao

Na <a href="/SemaTanzania/">Sema Tanzania</a> 

Leo napenda tuzungumze jambo ambalo mara nyingi halipewi nafasi kwenye malezi: umuhimu wa kuwasaidia watoto kuelezea hisia zao.

Wengi wetu tulikua kwenye familia ambako hisia hazikupewa nafasi.