
Joseph Mbilinyi
@therealjongwe
Businessman/Legendary African Hiphop Artist/Former Member of Parliament for Mbeya Urban/Central Committee Member - CHADEMA/Zonal Chairman-CHADEMA Nyasa.
ID: 1017809409748107265
13-07-2018 16:34:08
859 Tweet
428,428K Followers
161 Following






Na yeyote anayesema Mwenyekiti wetu Tundu Antiphas Lissu anyongwe/auwawe naye MATAKO yake pia… NB: Hata kama ni Sheikh wa CCM kama huyu! #NoReformsNoElection #FREELISSU


Mimi Jongwe, I endorse this STATEMENT from our Vice Chairman John Heche #NoReformsNoElection





Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa akisalimiana na Maofisa wa Ubalozi wa US, ambao walikuwepo Mahakama ya Kisutu jana kufuatilia kesi ya kubumba ya Mwenyekiti wetu wa Taifa Tundu Antiphas Lissu #NoReformsNoElection #FREELISSU


