Timber TZA (@timbertzaa) 's Twitter Profile
Timber TZA

@timbertzaa

Instagram || instagram.com/reel/DGkfv3dMjโ€ฆ

ID: 1371851708901523457

calendar_today16-03-2021 15:52:28

71,71K Tweet

10,10K Followers

9,9K Following

Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

Kama kuna mtu amekuwa akihoji mara kwa mara kuhusu kifo cha Jeffrey Epstein basi ni Elon Musk. Yaani inawezekana vipi ajiue gerezani? Uchunguzi wa maiti? Files kuhusu Epstein? Kwani huyu Epstein ni nani haswa? Ni nani kwa Elon Musk alifanya nini? Mwaka 1990, jiji la New York

Kama kuna mtu amekuwa akihoji mara kwa mara kuhusu kifo cha Jeffrey Epstein basi ni Elon Musk.

Yaani inawezekana vipi ajiue gerezani? Uchunguzi wa maiti? Files kuhusu Epstein?

Kwani huyu Epstein ni nani haswa? Ni nani kwa Elon Musk alifanya nini?

Mwaka 1990, jiji la New York
PACHA #1738๐Ÿง‘โ€๐Ÿคโ€๐Ÿง‘๐ŸŽจโšฝ๏ธ๐ŸŒด (@bendatwin) 's Twitter Profile Photo

Mara ya kwanza najaribu kunywa pombe nilipiga serengeti lite mbili nikaona hata sijalewa nikasema hapa hizi kulewa ni mpaka nipige nyingi nikaona zitaniharbia future sikunywa tokea hiyo siku ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

๐—•๐—”๐——๐— ๐—”๐—ก (@d1_janja) 's Twitter Profile Photo

Kila nikifikiria kuoa nawaza hiki kitu Yupi mwenye njia nyepesi kujipata haraka Kati ya alie oa na ambaye bado kuoa nakosa jibu Kwa kunifokea nisaidie kunielekeza

ELIAS๐Ÿฆ (@eliaskaneke) 's Twitter Profile Photo

Usiutumie mtandao wowote wa kijamii kimazoea,kwani kupitia mtandao wa kijamii unaweza,kujidhalilisha,kujishushia heshima Yako Kwa jamii inayokuzunguka,hata kukukosesha michongo ya maana..so take care โœŠ