Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile
Tito Magoti

@titomagoti

A student of SC Tundu AM Lissu | Law & Human Rights.

ID: 1965568524

calendar_today16-10-2013 22:09:17

110,110K Tweet

269,269K Followers

10,10K Following

LilCrvsh🦋 (@mill3n_kl3in) 's Twitter Profile Photo

Dear GOD, Tanganyika is yours and this is your man, please let him lead us one day this is not my will but let yours be done, Amen🙏

Dear GOD, Tanganyika is yours and this is your man, please let him lead us one day this is not my will but let yours be done, Amen🙏
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Reasoning capacity ya Martha ni a thousand times ya robo tatu ya hizo ng’ombe zilizokusanyika leo Dodoma. Kitu wanamzidi ni ujasiri wa kuiba na kuchuuza damu za watu.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Unatumia polisi kuteka, kufira, kupoteza na kuuwa watu. Kesho yake unaagiza haohao polisi wazuie utekaji ili uonekane mwema. Stop that nonsense. We ain’t in a class of those fool you are addressing. We need total civility. Tuheshimiane.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Hebu tuondolee unafiki wako Samia Suluhu 👉🏽 Watu hawapotei WANATEKWA say it! 👉🏽Ulisema utekaji ni vijiidrama 👉🏽 Ali Kibao alitekwa na kuuwawa kinyama ukasema Kifo ni Kifo na hadi leo hakuna uchunguzi 👉🏽Akina The People’s Watchman na Agather Atuhaire walishikiliwa na kuteswa ikiwa ni pamoja

Hebu tuondolee unafiki wako <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> 
👉🏽 Watu hawapotei WANATEKWA say it! 
👉🏽Ulisema utekaji ni vijiidrama 
👉🏽 Ali Kibao alitekwa na kuuwawa kinyama ukasema Kifo ni Kifo na hadi leo hakuna uchunguzi
👉🏽Akina <a href="/bonifacemwangi/">The People’s Watchman</a> na <a href="/AAgather/">Agather Atuhaire</a> walishikiliwa na kuteswa ikiwa ni pamoja
Vitalis Fusi (@vitalis_fusi) 's Twitter Profile Photo

Kuongozwa na mtu mjinga inachosha sana na kutia aibu kwa ujinga wa kiongozi mjinga asiejua hata mambo madogo kabisa. Inatosha

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Baada ya mihangaiko ya wiki nzima kesho niende Olele kusikiliza wakongwe, na kujipatia mautawala mbalimbali. We will be there🤝

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Hatutasahau kuwa uliteka, tesa na kuwapoteza hawa vijana: Deus Soka. Mdude Nyagali. Jacob Mlay. Frank Mbise. Dioniz Kipanya. Shadrack Chaula & more. Hawa ni vijana wakosoaji wa serikali yako. Damu yao itakufuata wewe na vizazi vyako. You are a criminal.

Hatutasahau kuwa uliteka, tesa na kuwapoteza hawa vijana: 

Deus Soka.

Mdude Nyagali.

Jacob Mlay.

Frank Mbise.

Dioniz Kipanya.

Shadrack Chaula &amp; more.

Hawa ni vijana wakosoaji wa serikali yako.

Damu yao itakufuata wewe na vizazi vyako.

You are a criminal.
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Hatutasahau kuwa tangu 2021 hadi Aug 2024 uliteka, tesa na/au kuuwa watu angalau 83, kwa mujibu wa taarifa ya TLS. Hatutasahau.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Sasa hivi zile ng’ombe zilizopelekwa Bungeni na Mzilankende zinalewa kufurahia miaka mitano ya upumbavu na wizi hapo Dodoma.

🇯🇲JamaicanSweetheart🇯🇲 (@localfundi_) 's Twitter Profile Photo

What really pisses me off is that even y’all hashtag pushers are just as broke as we are, I just pray y’all come to your senses because there’s no way you’re going to get rich with those pennies🌚

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kwanza nianze kwa kutoa shukrani kwa MUNGU kwa kuiona siku ya 27.6.2025. Hii ni siku ambayo nilizaliwa upya tena chini ya jua. Baada ya kupigwa RISASI YA KICHWA na kuachwa kama maiti niwe chakula cha MAMBA NA VIBOKO pembezoni mwa mto huko MBUGA YA KATAVI lakini vyote havikuweza

Kwanza nianze kwa kutoa shukrani kwa MUNGU kwa kuiona siku ya 27.6.2025. Hii ni siku ambayo nilizaliwa upya tena chini ya jua.

Baada ya kupigwa RISASI YA KICHWA na kuachwa kama maiti niwe chakula cha MAMBA NA VIBOKO pembezoni mwa mto huko MBUGA YA KATAVI lakini vyote havikuweza