Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile
Tundu Antiphas Lissu

@tundualissu

Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | Survivor

ID: 1106021802860515328

calendar_today14-03-2019 02:38:41

1,1K Tweet

819,819K Followers

306 Following

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza. Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa

Debating Mwalimu's influence on the constitutional and political development of our East African countries at famous his alma mater. While UDSM, my own alma mater, and other universities in Tanzania have become jailhouses for free political thought and debates, Makerere, the

Debating Mwalimu's influence on the constitutional and political development of our East African countries at famous his alma mater. 

While UDSM, my own alma mater, and other universities in Tanzania have become jailhouses for free political thought and debates, Makerere, the
Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team of doctors who saved my life on 7 Sept. 2017. Dr. (now Prof.) Ulisubisya Mpoki, then Permanent Secretary at the Ministry of Health, was in Dodoma on govt business

It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team of doctors who saved my life on 7 Sept. 2017. 

Dr. (now Prof.) Ulisubisya Mpoki, then Permanent Secretary at the Ministry of Health, was in Dodoma on govt business
Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Angolan immigration authorities are holding up and denying entry into Angola for me and a delegation of more than twenty senior leaders and representatives of political parties from across southern Africa who arrived in Luanda earlier today for a planned two day meeting. The

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Angola imezuia viongozi na wawakilishi zaidi ya 20 wa vyama mbalimbali vya siasa barani Afrika waliowasili Luanda mchana wa leo kwa ajili ya mkutano wa siku mbili wa vyama siasa uliokuwa ufanyike Benguela kuanzia kesho. Pamoja na mimi, kuna Makamu wa Kwanza wa Rais

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Tumepata heshima ya kukaribishwa na Mh. Raila Amolo Odinga ofisini kwake jijini Nairobi kwa ajili ya mazungumzo juu ya hali ya kisiasa nchini kwetu na harakati za mapambano ya kidemokrasia zinazoongozwa na chama chetu. Tumepata fursa ya kumweleza RAO juu ya msimamo wetu wa 'No

Breaking: Hon. Tundu Lissu has been arrested a little while ago in Mbinga, Songea. Mr. Lissu was arrested after addressing a public rally. Officer Commanding District (OCD) led the operation. Until now, it is unknown under what grounds Mr. Lissu has been arrested. Admin.

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Breaking: Mwenyekiti wa chama Taifa, Mh. Tundu Lissu, amekamatwa na polis jioni hii, Mbinga, Songea. Mh. Lissu amekamatwa baada ya mkutano wa hadhara. Ukamataji huu umeongozwa na OCD na sababu za kukamatwa kwake hazijajulikana. Admin.

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Credible reports from reliable sources, including Hon. Tundu Lissu's lawyers and family members, state that Mr. Lissu was driven out of Keko jail in an official government motorcade to an unknown location. Admin.

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Taarifa za kuaminika kutoka kwa wanasheria wa Mhe. Tundu Lissu na familia yake ni kwamba, Mh. Lissu ameondolewa kwenye gereza la Keko na msafara mkubwa. Zaidi, familia na marafiki wamezuiliwa kumtembelea tokea jana. Admin.

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Leo, Jumamosi, Aprili 19, 2025, viongozi wakuu wa chama wamekutana na uongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mheshimiwa Tundu Lissu amehamishiwa katika Gereza la Ukonga. Admin.

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Chadema party officials met with the Prisons Department (Correctional Services) today, April 19, 2025. The meeting aimed to establish Hon. Tundu Lissu's whereabouts, and the department confirmed he is in their custody, having been transferred to the Ukonga facility. Admin.

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

"I condemn in the strongest possible terms the attack on Father Dr. Charles Kitima and the assault and ongoing beating of Mdude Nyagali. I hold President Samia and her government responsible for these heinous acts of terrorism. I call upon President Samia and her government to

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Ujumbe kutoka gerezani wa Mh. Tundu Antiphas Lissu Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna

Ujumbe kutoka gerezani wa Mh. <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> 

Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna
Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Hon. Tundu Lissu's message from prison: Judge Hamidu Mwanga is Samia's judge, and because of that, he's a CCM judge doing CCM's work. Judge Mwanga was part of the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) under Jecha Salimu Jecha, which nullified the 2015 Zanzibar election. Can we

Hon. Tundu Lissu's message from prison:

Judge Hamidu Mwanga is Samia's judge, and because of that, he's a CCM judge doing CCM's work. Judge Mwanga was part of the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) under Jecha Salimu Jecha, which nullified the 2015 Zanzibar election. Can we