Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile
Equity Bank Tanzania

@tzequitybank

Official page for Equity Bank Tanzania – We’re here to provide customer support, share news & updates

ID: 1114275961

calendar_today23-01-2013 12:34:07

864 Tweet

1,1K Followers

5 Following

Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Saturdays are for sunshine, smiles, and making memories Where are you relaxing this weekend? Let us know below. #SmileItsSaturday #WeekendVibes #FamilyTime #SaturdayMood #BeachDay #GoodTimes #Tzequitybank #EquityMoments

Saturdays are for sunshine, smiles, and making memories
Where are you relaxing this weekend? Let us know below.
#SmileItsSaturday #WeekendVibes #FamilyTime #SaturdayMood #BeachDay #GoodTimes #Tzequitybank #EquityMoments
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Why stress? Log in fasta na Face ID au Fingerprint kupitia Equity Mobile. Haraka. Rahisi. Bila Stress. Pakua App yetu sasa! #EquityMobile #BankSmart #BankingSimplified

Why stress?
Log in fasta na Face ID au Fingerprint kupitia Equity Mobile.
Haraka. Rahisi. Bila Stress.
Pakua App yetu sasa!
#EquityMobile #BankSmart #BankingSimplified
Equity Bank Kenya (@keequitybank) 's Twitter Profile Photo

This Labour Day, we come together to celebrate the dedication and hard work of all individuals whose daily efforts drive progress and shape a better future for our nation. #LabourDay

This Labour Day, we come together to celebrate the dedication and hard work of all individuals whose daily efforts drive progress and shape a better future for our nation.
#LabourDay
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Asanteni kwa kuichagua Equity kuwa benki yenu ya kuaminika. Tunathamini kila safari ya kifedha tunayoshiriki pamoja nanyi. #ThankYouForBanking #Tunashukuru #AsanteKwaKuamini #EquityJourney #CustomerAppreciation #TogetherWithYou #EquityBank

Asanteni kwa kuichagua Equity kuwa benki yenu ya kuaminika. Tunathamini kila safari ya kifedha tunayoshiriki pamoja nanyi.
#ThankYouForBanking #Tunashukuru #AsanteKwaKuamini #EquityJourney #CustomerAppreciation #TogetherWithYou #EquityBank
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Monday mindset: Set new goals, chase bigger wins. Equity iko pamoja na wewe kila hatua. #NewWeekNewGoals #EquityBank #MafanikioTele

Monday mindset: Set new goals, chase bigger wins. Equity iko pamoja na wewe kila hatua. #NewWeekNewGoals #EquityBank #MafanikioTele
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Una ndoto ya kukuza biashara yako? Hatua ya kwanza ni mtaji sahihi. Kupitia Equity SME Business Loan, tunakuwezesha kufikia malengo yako kwa urahisi na kwa masharti nafuu. Tembelea tawi letu leo, biashara yako inastahili kukua. #SMELoan #BiasharaInawezekana #EquityTanzania

Una ndoto ya kukuza biashara yako?
Hatua ya kwanza ni mtaji sahihi.
Kupitia Equity SME Business Loan, tunakuwezesha kufikia malengo yako kwa urahisi na kwa masharti nafuu.
Tembelea tawi letu leo, biashara yako inastahili kukua.
#SMELoan #BiasharaInawezekana #EquityTanzania
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Mitambo, magari, au vifaa vya biashara, tunakupa njia ya kuvipata.Kupitia Asset Finance Loan kutoka Equity, unaweza kupanua biashara yako bila mzigo wa gharama kubwa ya awali. Jipatie rasilimali unazohitaji ili biashara yako izidi kusonga mbele. Tembelea tawi letu au wasiliana

Mitambo, magari, au vifaa vya biashara, tunakupa njia ya kuvipata.Kupitia Asset Finance Loan kutoka Equity, unaweza kupanua biashara yako bila mzigo wa gharama kubwa ya awali.
Jipatie rasilimali unazohitaji ili biashara yako izidi kusonga mbele.
Tembelea tawi letu au wasiliana
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Unakumbuka ulipoanza biashara yako? Ilikuwa meza ndogo, bidhaa chache… lakini leo, umefika mbali. Kila hatua uliyochukua ina maana na Equity tupo nawe kila hatua ya safari hiyo. #SafariYaBiashara #UmefikaMbali #EquityTanzania #KilaHatuaInaMaana

Unakumbuka ulipoanza biashara yako?
Ilikuwa meza ndogo, bidhaa chache… lakini leo, umefika mbali.
Kila hatua uliyochukua ina maana  na Equity tupo nawe kila hatua ya safari hiyo.
#SafariYaBiashara #UmefikaMbali #EquityTanzania #KilaHatuaInaMaana
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Leo tunasherehekea wanawake wote wanaojenga familia, biashara, na ndoto. Asante Mama kwa kuwa mwanga wa maisha yetu. #HappyMothersDay #EquityTanzania #AsanteMama

Leo tunasherehekea wanawake wote wanaojenga familia, biashara, na ndoto. Asante Mama kwa kuwa mwanga wa maisha yetu.
#HappyMothersDay #EquityTanzania #AsanteMama
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Usijisumbue tena na PIN zako. Log in haraka na salama kwa kutumia Fingerprint au Face ID kupitia Equity Mobile. Haraka. Rahisi. Bila Stress. #EquityMobile #DigitalBanking #SmartLogin #NoStressBanking

Usijisumbue tena na PIN zako.
Log in haraka na salama kwa kutumia Fingerprint au Face ID kupitia Equity Mobile.
Haraka. Rahisi. Bila Stress.

#EquityMobile #DigitalBanking #SmartLogin #NoStressBanking
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Katika uzinduzi wa Equity Trade and Investment Roadshow 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Equity Bank Tanzania, Bi. Isabela Maganga, ameeleza wazi dhamira ya benki katika kuleta mabadiliko ya kweli kwenye uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki. Kupitia kauli hii, Equity Bank

Katika uzinduzi wa Equity Trade and Investment Roadshow 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Equity Bank Tanzania, Bi. Isabela Maganga, ameeleza wazi dhamira ya benki katika kuleta mabadiliko ya kweli kwenye uchumi wa Tanzania na Afrika Mashariki.

Kupitia kauli hii, Equity Bank
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Leo kwenye uzinduzi wa Equity Trade and Investment Roadshow 2025, Prosper Nambaya – Mkurugenzi wa Biashara wa Equity Bank Tanzania – ameeleza jinsi benki imejipanga kama mshirika wa kikanda kwa ajili ya kukuza biashara Afrika Mashariki. Kupitia mpango wa ARRP (Mpango wa

Leo kwenye uzinduzi wa Equity Trade and Investment Roadshow 2025, Prosper Nambaya – Mkurugenzi wa Biashara wa Equity Bank Tanzania – ameeleza jinsi benki imejipanga kama mshirika wa kikanda kwa ajili ya kukuza biashara Afrika Mashariki.

Kupitia mpango wa ARRP (Mpango wa
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Katika uzinduzi rasmi wa Equity Trade and Investment Roadshow 2025, Prof. Eda Tandi Lwoga akimwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo, ameipongeza Equity kwa kuwaleta pamoja wawekezaji wa ndani na wa kimataifa, wajasiriamali na washirika wa

Katika uzinduzi rasmi wa Equity Trade and Investment Roadshow 2025, Prof. Eda Tandi Lwoga akimwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo, ameipongeza Equity kwa kuwaleta pamoja wawekezaji wa ndani na wa kimataifa, wajasiriamali na washirika wa
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Equity Bank Tanzania proudly welcomes Dr. Florens Martin Turuka as the new Board Chairman. With over 30 years of experience in leadership, governance, and agricultural policy, Dr. Turuka brings unmatched expertise to guide our strategic journey. #Leadership #EquityBankTanzania

Equity Bank Tanzania proudly welcomes Dr. Florens Martin Turuka as the new Board Chairman.
With over 30 years of experience in leadership, governance, and agricultural policy, Dr. Turuka brings unmatched expertise to guide our strategic journey.

#Leadership #EquityBankTanzania
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Equity Bank Tanzania warmly welcomes Mr. Bakari S. Machumu to the Board of Directors. A media and leadership expert with 27+ years of experience, Mr. Machumu brings sharp insight into communication and governance. #BoardAppointment #EquityBankTanzania #Leadership

Equity Bank Tanzania warmly welcomes Mr. Bakari S. Machumu to the Board of Directors.
A media and leadership expert with 27+ years of experience, Mr. Machumu brings sharp insight into communication and governance.

#BoardAppointment #EquityBankTanzania #Leadership
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Join us in welcoming Mr. Unguu R. Sulay to the Board of Directors at Equity Bank Tanzania. With vast expertise in finance, sustainability, and business strategy, Mr. Sulay strengthens our vision for responsible growth. #EquityBankTanzania #Leadership #BoardAppointment

Join us in welcoming Mr. Unguu R. Sulay to the Board of Directors at Equity Bank Tanzania.
With vast expertise in finance, sustainability, and business strategy, Mr. Sulay strengthens our vision for responsible growth.

#EquityBankTanzania #Leadership #BoardAppointment
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Monday Money Motivation. Anza wiki ukiwa na hamasa ya kifedha! Kila shilingi unayoweka leo ni mbegu ya kesho yako bora. Wekeza kwa akili, tumia kwa busara, na uweke malengo madhubuti ya kifedha. #MondayMoneyMotivation #SmartFinances #EquityBank #JipangeNaFedha

Monday Money Motivation.
Anza wiki ukiwa na hamasa ya kifedha! Kila shilingi unayoweka leo ni mbegu ya kesho yako bora.
Wekeza kwa akili, tumia kwa busara, na uweke malengo madhubuti ya kifedha.
#MondayMoneyMotivation #SmartFinances #EquityBank #JipangeNaFedha
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Je, una ndoto kubwa za kifedha? Anza na kidogo – TZS 10,000 kwa wiki inaweza kukuweka mbali zaidi. Hakuna sababu ya kusubiri, weka malengo yako ya akiba kidijitali leo. Pakua Equity Mobile App na anza #SaveKidigitali #TengenezaAkiba #GoalSavings #EquityMobile #DigitalSaving

Je, una ndoto kubwa za kifedha? Anza na kidogo – TZS 10,000 kwa wiki inaweza kukuweka mbali zaidi.
Hakuna sababu ya kusubiri, weka malengo yako ya akiba kidijitali leo.
Pakua Equity Mobile App na anza #SaveKidigitali

#TengenezaAkiba #GoalSavings #EquityMobile #DigitalSaving
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

Tukiwa na furaha kubwa, leo tumeshuhudia uzinduzi rasmi wa huduma ya Mastercard Gold Debit na Mastercard World Debit kutoka Equity Bank Tanzania, kadi za malipo za kiwango cha kimataifa zinazokuja na faida za kipekee kwa wateja wetu wa thamani. Pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa

Tukiwa na furaha kubwa, leo tumeshuhudia uzinduzi rasmi wa huduma ya Mastercard Gold Debit na Mastercard World Debit kutoka Equity Bank Tanzania, kadi za malipo za kiwango cha kimataifa zinazokuja na faida za kipekee kwa wateja wetu wa thamani.

Pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Equity Bank Tanzania (@tzequitybank) 's Twitter Profile Photo

🌙 Heri ya Sikukuu ya Eid Al Adha. Tukio hili takatifu linatufundisha maana ya imani, kujitolea, na mshikamano. Equity Bank inawatakia wateja na Watanzania wote Eid yenye furaha, amani, na baraka tele. #EidAlAdha #HeriYaEid #EquityBankTanzania #TunawekaMbeleMaishaYako

🌙 Heri ya Sikukuu ya Eid Al Adha.
Tukio hili takatifu linatufundisha maana ya imani, kujitolea, na mshikamano. Equity Bank inawatakia wateja na Watanzania wote Eid yenye furaha, amani, na baraka tele.

#EidAlAdha #HeriYaEid #EquityBankTanzania #TunawekaMbeleMaishaYako