Tanzania Wildlife Management Authority (@tztawa) 's Twitter Profile
Tanzania Wildlife Management Authority

@tztawa

TAWA is responsible for sustainable management of wildlife resources and biodiversity conservation outside Tanzania National Parks and NCAA

ID: 1099673561936154624

linkhttp://www.tawa.go.tz calendar_today24-02-2019 14:13:02

760 Tweet

896 Followers

56 Following

Tanzania Wildlife Management Authority (@tztawa) 's Twitter Profile Photo

TAWA inawatakia heri ya Sikukuu ya PASAKA. Karibuni mtembelee maeneo yetu ya vivutio vya utalii mjionee fahari ya nchi yenu. #Easter2025 #EasterWeekend #utaliiwandani

TAWA inawatakia heri ya Sikukuu ya
PASAKA. Karibuni mtembelee maeneo yetu ya vivutio vya utalii mjionee fahari ya nchi yenu.
#Easter2025 #EasterWeekend #utaliiwandani
Tanzania Wildlife Management Authority (@tztawa) 's Twitter Profile Photo

*MATUKIO KATIKA PICHA*: Ujumbe wa TAWA ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TAWA, Mej.Jen (Mstaafu) Hamis Semfuko leo wakati wa uwasilishwaji wa Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2025-2026.

*MATUKIO KATIKA PICHA*:

Ujumbe wa TAWA ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TAWA, Mej.Jen (Mstaafu) Hamis Semfuko leo wakati wa uwasilishwaji wa Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2025-2026.