UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile
UCSAF-Tanzania

@ucsaft

Universal Communications Service Access Fund ( UCSAF)was established to facilitate access to communication services.
For more information call 0800110700

ID: 1357000480883421187

linkhttp://ucsaf.go.tz calendar_today03-02-2021 16:18:54

934 Tweet

1,1K Followers

13 Following

UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

2. Mhe. Silaa ameyasema hayo wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya Wasichana katika TEHAMA 2025, yanayoratibiwa UCSAF kwa lengo la kuhamasisha wasichana kuchagua masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM).

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), akifanya ukaguzi wa ubunifu wa kiteknolojia uliofanywa na wanafunzi walioshiriki mafunzo ya TEHAMA kwa wasichana 2025, yaliyofanyika katika ukumbi wa AICC, Jijini Arusha.

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) akitoa zawadi ya kompyuta mpakato (laptops) kwa wanafunzi 31 walioshiriki katika mafunzo ya Wasichana katika TEHAMA, 2025 kitaifa katika hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo Aprili 16, 2025.

📌Heri ya Siku ya Ijumaa Kuu kutoka Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote( UCSAF). #MawasilianoKwaWote #DigitallyInclusiveTanzania #DigitalEconomy.

📌Heri ya Siku ya Ijumaa Kuu kutoka Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote( UCSAF).
#MawasilianoKwaWote
#DigitallyInclusiveTanzania
#DigitalEconomy.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

📌Heri ya SikuKuu ya Pasaka kutoka Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote( UCSAF). #MawasilianoKwaWote #DigitallyInclusiveTanzania #DigitalEconomy.

📌Heri ya SikuKuu ya Pasaka kutoka Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote( UCSAF).
#MawasilianoKwaWote
#DigitallyInclusiveTanzania
#DigitalEconomy.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Mara. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa huo, minara iliyokamilika na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na ile ambayo utekekezaji wake unaendelea. #Minara758NchiNzima.

Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Mara. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa huo, minara iliyokamilika na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na ile ambayo utekekezaji wake unaendelea.
#Minara758NchiNzima.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Kagera. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa huo, minara iliyokamilika na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na ile ambayo utekekezaji wake unaendelea. #Minara758NchiNzima.

Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Kagera. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa huo, minara iliyokamilika na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na ile ambayo utekekezaji wake unaendelea.
#Minara758NchiNzima.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Mwanza. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa huo, minara iliyokamilika na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na ile ambayo utekekezaji wake unaendelea. #Minara758NchiNzima.

Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Mwanza. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa huo, minara iliyokamilika na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na ile ambayo utekekezaji wake unaendelea.
#Minara758NchiNzima.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), inatekeleza mradi huu mkubwa unaolenga kuwafikia wananchi milioni 8.5 wa maeneo ya vijijini ambao watafaidika na huduma za mawasiliano mara mradi utakapokamilika. #MawasilianoKwaWote #Commucation4All

Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), inatekeleza mradi huu mkubwa unaolenga kuwafikia wananchi milioni 8.5 wa maeneo ya vijijini ambao watafaidika na huduma za mawasiliano mara mradi utakapokamilika. 

#MawasilianoKwaWote
#Commucation4All
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Hadi kufikia Aprili 25, 2025 jumla ya minara 482 kati ya 758 ilikuwa imewaka na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi katika maeneo mbalimbali. #Tumewasha #Tumewafikia #Minara758NchiNzima #DigitallyInclusiveTanzania

Hadi kufikia Aprili 25, 2025 jumla ya minara 482 kati ya 758 ilikuwa imewaka na tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi katika maeneo mbalimbali.
#Tumewasha 
#Tumewafikia 
#Minara758NchiNzima 
#DigitallyInclusiveTanzania
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

📌UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MINARA 758 NCHINI. Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Arusha. Mgawanyo huu ni idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa wa Arusha na Wilaya zake. #MawasilianoKwaWote #DigitallyInclusiveTanzania #DigitalEconony #Minara758NchiNzima.

📌UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MINARA 758 NCHINI.
Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Arusha. Mgawanyo huu ni idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa wa Arusha na Wilaya zake.
#MawasilianoKwaWote
#DigitallyInclusiveTanzania
#DigitalEconony
#Minara758NchiNzima.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

📌UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MINARA 758 NCHINI. Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Tanga. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa husika na Wilaya zake. #MawasilianoKwaWote #DigitallyInclusiveTanzania #DigitalEconony #Minara758NchiNzima.

📌UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MINARA 758 NCHINI.
Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Tanga. Mgawanyo huu unaonyesha idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa husika na Wilaya zake.
#MawasilianoKwaWote
#DigitallyInclusiveTanzania
#DigitalEconony
#Minara758NchiNzima.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

📌UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MINARA 758 NCHINI. Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Manyara. Mgawanyo huu ni idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa husika na Wilaya zake. #MawasilianoKwaWote #DigitallyInclusiveTanzania #DigitalEconony #Minara758NchiNzima.

📌UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MINARA 758 NCHINI.
Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Manyara. Mgawanyo huu ni idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa husika na Wilaya zake.
#MawasilianoKwaWote
#DigitallyInclusiveTanzania
#DigitalEconony
#Minara758NchiNzima.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

📌UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MINARA 758 NCHINI. Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Kilimanjaro. Mgawanyo huu ni idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa husika na Wilaya zake. #MawasilianoKwaWote #DigitallyInclusiveTanzania #DigitalEconony #Minara758NchiNzima.

📌UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MINARA 758 NCHINI.

Mgawanyo wa ujenzi wa minara 758 katika Mkoa wa Kilimanjaro. Mgawanyo huu ni idadi jumla ya minara inayojengwa katika Mkoa husika na Wilaya zake.
#MawasilianoKwaWote
#DigitallyInclusiveTanzania
#DigitalEconony
#Minara758NchiNzima.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

JINSI YA KUPIGA KURA Skani ama tumia link hii👇kujisajili na kupiga kura. itu.int/net4/wsis/stoc… KIPENGELE CHA MRADI: AL C2. INFORMATION INFRASTRUCTURE JINA LA MRADI: RURAL TELECOMMUNICATION IN ZANZIBAR- ▶️Kisha VOTE FOR THIS PROJECT.

JINSI YA KUPIGA KURA Skani ama tumia link hii👇kujisajili na kupiga kura.
itu.int/net4/wsis/stoc…
KIPENGELE CHA MRADI: AL C2. INFORMATION INFRASTRUCTURE

JINA LA MRADI: RURAL TELECOMMUNICATION IN ZANZIBAR- ▶️Kisha VOTE FOR THIS PROJECT.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), inatekeleza mradi huu mkubwa unaolenga kuwafikia wananchi milioni 8.5 wa maeneo ya vijijini ambao watafaidika na huduma za mawasiliano mara mradi utakapokamilika.

Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), inatekeleza mradi huu mkubwa unaolenga kuwafikia wananchi milioni 8.5 wa maeneo ya vijijini ambao watafaidika na huduma za mawasiliano mara mradi utakapokamilika.
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia yaHabari (@wizaramth) 's Twitter Profile Photo

BADO SIKU 18! Jiandae kwa Mkutano Mkuu wa 14 wa Afrika wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao (AfIGF) Tarehe: Mei 29 - 31, 2025 Mahali: JNICC, Dar es Salaam, Tanzania Kaulimbiu: Kuwezesha Mustakabali wa Kidijitali wa Afrika.📍 #AfIGF2025 #MtandaoAfrika #Kidijitali #TanzaniaYaKidijitali

BADO SIKU 18!
Jiandae kwa Mkutano Mkuu wa 14 wa Afrika wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao (AfIGF)
Tarehe: Mei 29 - 31, 2025
Mahali: JNICC, Dar es Salaam, Tanzania
Kaulimbiu: Kuwezesha Mustakabali wa Kidijitali wa Afrika.📍

#AfIGF2025 #MtandaoAfrika #Kidijitali #TanzaniaYaKidijitali