
UFAFANUZI
@ufafanuzi
🌍Uafrika|Usonga|Utamaduni|Ubunifu|Uvumbuzi|Udadisi|Ufumbuzi|Ugunduzi|Uwanazuoni|Utetezi|Ukosoaji|Ufafanuzi|Udodosaji|Ufukunyuzi|Uchokozi|Uswahili|Utanzania🇹🇿
ID: 1211226079177740288
https://udadisi.com 29-12-2019 10:03:13
20,20K Tweet
2,2K Followers
67 Following

Vicensia Shule UFAFANUZI Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 University of Dar es Salaam Hongera kwa kuchukua hatua zilizo ndani ya uwezo wako. Kazi bado ni kubwa:


Christian Bwaya UFAFANUZI Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 University of Dar es Salaam Ukitaka kujua taifa limesonga kiasi gani hata kwenye usafi wa siasa tu, tizama vyoo. Choo ni kioo cha taifa


Pole sana Ndugu yangu 𝕱𝖆𝖉𝖍𝖞 𝕸𝖙𝖆𝖓𝖌𝖆.


“NDIO nataka CDM wa participate UCHAGUZI wa 2025”⚠️—fatma karume aka Shangazi #MHLK (x.com/fatma_karume/s…) “#IliIweje❓” — Tundu Antiphas Lissu #NRNE (youtu.be/8byuLz7_Pq0?si…)


Hivi ni lini Tundu Antiphas Lissu aliyepelekwa COURT alisema #NRNE ni “BOYCOTT”? Kwa hiyo #TunduLissu kafungwa na wafungwa wa ‘DEATH ROW’ kisa “PASSIVITY”? Huyu #Lissu aliyeshitakiwa kwa uhaini na uchochezi na anayejitetea mahakamani kila ‘FORTNIGHT’ ni “DEFEATEST”? #TUNDU huyu-huyu?


Thomas J. Kibwana Usikimbie,Mfawidhi,ikikupendeza naomba UFAFANUZI wa hili maana kwa kweli sielewi kabisa kinachoendelea labda nimelidandia treni kwa mbele, siku zote nilidhani learned sister ndiye hasa wa kunielewesha kauli na harakati za learned brother ikiwemo ya ‘#uhaini’ wa mwana-#NRNE huyo.
