Mifugo na Uvuvi (@uvuvina) 's Twitter Profile
Mifugo na Uvuvi

@uvuvina

Wizara ya Mifugo na uvuvi inashughulika moja kwa moja na sekta za mifugo na uvuvi ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto zinazowakabili wafugaji na wavuvi nchini

ID: 1398748599295647747

calendar_today29-05-2021 21:12:31

598 Tweet

1,1K Followers

24 Following

Mifugo na Uvuvi (@uvuvina) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Manyeti amezitaka taasisi za Serikali zinazoshiriki kwenye Maonesho ya kimataifa ya wakulima (NaneNane) kuwa wabunifu na kuonesha bidhaa bora ili sekta binafsi waweze kujifunza kutoka kwao.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti alitembelea banda la kampuni ya kusindika maziwa nchini ya ASAS ambapo amewapongeza kwa hatua waliyofikia ya kusindika maziwa ya Unga na kutoa rai kwa Taasisi za Serikali kuanza kutumia maziwa hayo kwenye ofisi zake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Shilingi Bilioni 1.1 kwa vikundi 25 vya programu ya β€œJenga Kesho Iliyo Bora” (BBT) ili viweze kufuga kwa tija.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ameshangazwa na ukubwa wa ng'ombe waliopo kwenye ranchi ya Kitulo mkoani Njombe, Agosti 8, 2024 jijini Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega wameshiriki Mkutano wa Ngazi ya Juu unaohusu Ukuaji wa Viwanda na Kilimo cha Kisasa Afrika kwenye Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika,05.09.2024

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega leo Septemba 5, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Jimbo la Huangshan Bw. Yao Weizhu yaliyojikita kwenye kuanzisha mashamba makubwa ya ufugaji wa samaki nchini Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wawekezaji mbalimbali wa nchini China, jijini Beijing leo Septemba 6, 2024. Pamoja na Viongozi wengine Mhe. Rais ameambatana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa 8 wa Mawaziri wa Uvuvi, Bahari,na Maji ya Ndani kwa Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika, Karibiani na Pasifiki kwenye Ukumbi wa JNICC jijini Dar-Es-Salaam, Septemba 11, 2024.

Waziri wa Uvuvi wa Zambia Mhe. Eng. Peter Kapala (kushoto) akifafanua jambo wakati wa mazungumzo baina yake na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega yaliyolenga usimamizi wa rasilimali za Uvuvi ndani ya Ziwa Tanganyika Septemba 12, 2024 jijini Dar-Es-Salaam.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akifafanua jambo wakati wa mazungumzo baina yake na Waziri wa Uvuvi na Maendeleo ya Ukuzaji Viumbe Maji wa Ghana Mhe. Mavis Koomson yaliyolenga ushirikiano kwa upande wa teknolojia za Uvuvi na Ukuzaji Viumbe Septemba 12, 2024.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akifafanua jambo wakati wa mazungumzo baina yake na Mkurugenzi Mkuu msaidizi na Mkurugenzi wa Uvuvi na Ukuzaji Viumbe Maji kutoka FAO Bw. Manuel Barange Septemba 12, 2024 jijini Dar-Es-Salaam.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametoa rai kwa mashirika ya kimataifa yanayotekeleza miradi ya Uvuvi nchini kuhakikisha miradi hiyo inatumika kuinua uchumi wa wavuvi na sekta ya uvuvi kwa ujumla, 13.09.2024 jijini Dar-es-Salaam

"Tumeendesha mikutano mikubwa miwili ya Mawaziri na Maafisa wa nchi wanachama wa OACPS ambapo mkutano wa kwanza uliangazia fursa zilizopo kwenye uchumi wa Buluu, Rasilimali za Uvuvi na Maendeleo ya tasnia ya ukuzaji viumbe maji" Mhe. Abdallah Ulega, Waziri wa Mifugo na Uvuvi.

FAO in Tanzania (@faotanzania) 's Twitter Profile Photo

.Food and Agriculture Organization & Ministry of Livestock & Fisheries handed over fishing equipment to fishing communities in Mkinga, Tanga. Funded by Sida, the equipment will boost livelihoods of fishers & seaweed farmers while addressing challenges in sardine, octopus fisheries & seaweed farming.

.<a href="/FAO/">Food and Agriculture Organization</a> &amp; Ministry of Livestock &amp; Fisheries handed over fishing equipment to fishing communities in Mkinga, Tanga.

Funded by <a href="/Sida/">Sida</a>, the equipment will boost livelihoods of fishers &amp; seaweed farmers while addressing challenges in sardine, octopus fisheries &amp; seaweed farming.
Mifugo na Uvuvi (@uvuvina) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa 13 wa Kamati ya Wataalam ya Vigezo vya Mgawanyo wa Mavuno ya Samaki Jodari na Jamii zake mjini Bangkok, Thailand.

"Serikali itaendelea kuiweka ajenda ya akinamama kwenye Sekta ya Uvuvi kuwa miongoni mwa ajenda zitakazokuwa zikipewa kipaumbele kutokana na umuhimu wake katika kukuza uchumi wa nchi" Dkt. Edwin Mhede, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Kigoma, 05.11.2024.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Dkt. Edwin Mhede (wa tatu kushoto) akisisitiza kukamilika kwa kiwanda cha kuchakata samaki Lifa kilichopo Mkoani Kigoma, wakati alipofanya ziara ya kikazi mkoani humo kuanzia tarehe 5 hadi 7 Mwezi Novemba Mwaka 2024.