VOX RADIO 95.0 (@voxradio3) 's Twitter Profile
VOX RADIO 95.0

@voxradio3

Vox Radio is a community centered media station that gives the people a platform where every voice counts!
We are a community radio based in Tana River.

ID: 1562017769192824833

linkhttps://kcomnet.org/amani-fm/ calendar_today23-08-2022 10:04:27

97 Tweet

25 Followers

53 Following

VOX RADIO 95.0 (@voxradio3) 's Twitter Profile Photo

Gavana wa Lamu Issa Timamy akiandamana na gavana wa Wajir Ahmed Abdulahi wamezuru eneo la Moa kutakhmini miradi yenye itawafaidi wakazi wa Moa

Gavana wa Lamu Issa Timamy akiandamana na gavana wa Wajir Ahmed Abdulahi wamezuru eneo la Moa kutakhmini miradi yenye itawafaidi wakazi wa Moa
VOX RADIO 95.0 (@voxradio3) 's Twitter Profile Photo

Leo usiku kwenye kipindi chako cha Vox Mtaani tunauliza Je ni sahihi wazazi kugombana mbele ya watoto? Usikose kutoa maoni yako pia kwa nambari 0742411675

Good nutrition plays an important role in the success of school going children. Join us on #MakalaYaTumaini as we tackle the challenges schools face in providing hot meals, this Thursday at 8pm

Good nutrition plays an important role in the success of school going children.
Join us on #MakalaYaTumaini as we tackle the challenges schools face in providing hot meals, this Thursday at 8pm
VOX RADIO 95.0 (@voxradio3) 's Twitter Profile Photo

Wimbo wake Abush Chininto #gaafeda unafanya vizuri katika muundo na mdundo wa asili ya kiorma. #Gaafeda ni neno la kiorma lenye maana ya #Muulizeni Usikose kusupport kazi za wasanii wetu wa nyumbani kwa kutembelea pale YouTube.

Pokomo Princess ni mwanamziki wa Tana River anaewakilisha eneo la Tarasaa. Amekuwa akifanya vizuri kwenye soko la mziki wa kizazi kipya na sasa ametoa wimbo wa #MyBoy ambao unafanya vizuri kwenye media stream zote.

Did you know that children with chronic diseases, such as HIV have a higher chance of getting malnutritioned? This is because their bodies have a harder time absorbing vitamins, iron, and other nutrients. #Tuwajibike UNICEF Kenya Centre for Behaviour Change and Communication DigiRedio Social & Behaviour Change Platform Kenya Red Cross

Did you know that children with chronic diseases, such as HIV have a higher chance of getting malnutritioned? This is because their bodies have a harder time absorbing vitamins, iron, and other nutrients.

#Tuwajibike
UNICEF Kenya
Centre for Behaviour Change and Communication
DigiRedio Social & Behaviour Change Platform
Kenya Red Cross
VOX RADIO 95.0 (@voxradio3) 's Twitter Profile Photo

Diseases such as measles, meningitis, polio, tetanus, pertussis and many others can be prevented by vaccination. Jiunge nasi on #MakalaYaTumaini to find out the benefits of vaccination and where to get vaccinated.. #TwendePamoja UNICEF Kenya​ @CBCCAfrica

Diseases such as measles, meningitis, polio, tetanus, pertussis and many others can be prevented by vaccination. Jiunge nasi on #MakalaYaTumaini to find out the benefits of vaccination and where to get vaccinated..

#TwendePamoja
UNICEF Kenya​
@CBCCAfrica
VOX RADIO 95.0 (@voxradio3) 's Twitter Profile Photo

Getting vaccinated is the best way to protect Kenya from #COVID-19. We're calling upon the youth to get vaccinated and play their part in protecting the nation. Join us on #MakalaYaTumaini and learn more about COVID-19. #TwendePamoja UNICEF Kenya​ @CBCCAfrica

Getting vaccinated is the best way to protect Kenya from #COVID-19.

We're calling upon the youth to get vaccinated and play their part in protecting the nation.

Join us on #MakalaYaTumaini and learn more about COVID-19.

#TwendePamoja
UNICEF Kenya​
@CBCCAfrica
VOX RADIO 95.0 (@voxradio3) 's Twitter Profile Photo

Every young person deserves a chance to pursue their dreams, no matter the challenges they face. Through UNICEF Kenya we're breaking down barriers and empowering teenage mothers to continue their education. Join us on #MakalaYaTumaini #ComeTwendeShule UNICEF Kenya​ @CBCCAfrica

Every young person deserves a chance to pursue their dreams, no matter the challenges they face.

Through UNICEF Kenya we're breaking down barriers and empowering teenage mothers to continue their education.
Join us on #MakalaYaTumaini

#ComeTwendeShule
UNICEF Kenya​
@CBCCAfrica