Veronica Pantaleo (@veronicapanta15) 's Twitter Profile
Veronica Pantaleo

@veronicapanta15

Professional Teacher | Influencer @Wowzi_Tz | Zonal Coordinator @_activista255
@UNICEFTanzania(Championi wa Haki za Watoto & Binti & Sio Lazima Campaign)

ID: 1492719009174892544

linkhttp://tiktok.com/@veronicapantaleo5 calendar_today13-02-2022 04:35:35

88,88K Tweet

8,8K Followers

5,5K Following

𝐒𝐩𝐥𝐞𝐧𝐝𝐨𝐫 𝐊𝐲𝐫𝐢𝐨𝐬🌴 (@skyfly_gains) 's Twitter Profile Photo

Fahamu kuwa kila uamuzi unaouchukua leo, ni mbegu unayopanda kesho. Ukiamua kujichafua kwa tamaa, kesho utavuna fedheha. Ukiamua kujenga kwa nidhamu, kesho utavuna heshima.

Eagle's Eye (@eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Hello Dears♥️ Kuna muda mishe zako mazingira yako watu wanao kuzunguka kila kitu kinakuonyesha kama hakuna uwezekano wa kufanikiwa tena ni kama mwisho flani hivi umefika USIKATE TAMAA ugumu sio sentence ya mwisho kwenye mafanikio katika Mungu uhai na muda lipo TUMAINI 💪😍

Hello Dears♥️ Kuna muda mishe zako mazingira yako watu wanao kuzunguka kila kitu kinakuonyesha kama hakuna uwezekano wa kufanikiwa tena ni kama mwisho flani hivi umefika USIKATE TAMAA ugumu sio sentence ya mwisho kwenye mafanikio katika Mungu uhai na muda lipo TUMAINI 💪😍
Paul Clementy (@paulclementy) 's Twitter Profile Photo

Popote usomapo hii Ndugu, Nakutakia siku njema iliyojaa mafanikio kwa ajili yako na familia yako. Ikawe ni mwanzo mzuri wa mambo mazuri mbele yako. Good morning🙏

Brave man (@thomas_yona_) 's Twitter Profile Photo

Riziki ya mtu inaweza kucheleweshwa lakin haiwezi kuzuiliwa na mwanadamu , kama Mungu kakupangia basi ipo tu tusichoke kuomba na tusiwe watu wa kukata tamaa mapema. Good morning fam🌤🌤

Mapo (@nhanapaul) 's Twitter Profile Photo

Katika machafuko ya maisha, Uwazi wa akili ni dira yako. Inakuongoza kupitia usumbufu na mafadhaiko kwa urahisi. Kaa katikati, kaa bila kubatilishwa.

Mondinho Diallo (@mondinhodiallo) 's Twitter Profile Photo

𝐍𝐄𝐖 𝐒𝐀𝐍𝐃𝐀𝐋𝐒 𝐙𝐀𝐑𝐀 ✅✅ 𝐒ize: 𝟑𝟗,𝟒𝟎,𝟒𝟏,𝟒𝟐,𝟒𝟑,𝟒𝟒,𝟒𝟓,𝟒𝟔 Price: 80,000/= Delivery Yes I Do Location Kariakoo Mtaa Congo Jengo La Raha Restaurant Call & DM +255626560477 Welcome High Quality Fullbox Available

𝐍𝐄𝐖 𝐒𝐀𝐍𝐃𝐀𝐋𝐒 𝐙𝐀𝐑𝐀 ✅✅
𝐒ize: 𝟑𝟗,𝟒𝟎,𝟒𝟏,𝟒𝟐,𝟒𝟑,𝟒𝟒,𝟒𝟓,𝟒𝟔
Price: 80,000/=
Delivery Yes I Do
Location Kariakoo Mtaa Congo Jengo La Raha Restaurant
Call & DM +255626560477

Welcome High Quality Fullbox Available