Victor Mandala (@victormandalamc) 's Twitter Profile
Victor Mandala

@victormandalamc

Radio Presenter @bhusema 96.7fm, #HossanaMacheo Event Organiser and MC

ID: 342589629

linkhttp://www.bibliahusema.org calendar_today26-07-2011 07:57:29

51,51K Tweet

4,4K Followers

2,2K Following

Victor Mandala (@victormandalamc) 's Twitter Profile Photo

HOSSANA MACHEO:- Happy New week, Ulinzi wa Mungu uwe juu yako wiki hii na mwezi huu katika jina la Yesu Isaya 26:3 Utamlinda yeye ambaye moyo wake umekutegemea Katika amani kamilifu, kwa kuwa anakutumaini youtube.com/watch?v=J0sByA… #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo

HOSSANA MACHEO:-
Happy New week, Ulinzi wa Mungu uwe juu yako wiki hii na mwezi huu katika jina la Yesu
Isaya 26:3
Utamlinda yeye ambaye moyo wake umekutegemea Katika amani kamilifu, kwa kuwa anakutumaini
youtube.com/watch?v=J0sByA…
#Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo
Victor Mandala (@victormandalamc) 's Twitter Profile Photo

HIMIZO:- SIRI ambayo ukiijua Na uitumie, Mungu Hana Budi kuingilia Kati Mara moja Na kukupa Ushindi - Himizo Na Victor Mandala VMM youtube.com/watch?v=F46lk7… Kindly SUBSCRIBE Now for More #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo Lucy Nyaga Babybeatrice Sir Wycliffe Bucachi Abu Webungo

Victor Mandala (@victormandalamc) 's Twitter Profile Photo

HOSSANA MACHEO:-:MAZUNGUMZO BAYANA:- Maoni yako ni yepi kuhusu mchuoano wa CHAN na haswa kuhusu maandalizi na ushindi wa mechi ya kwanza ya Harambee Stars? #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo Sir Wycliffe Bucachi Abu Webungo Lucy Nyaga Babybeatrice Babanjau Lucy Mutua

HOSSANA MACHEO:-:MAZUNGUMZO BAYANA:-
Maoni yako ni yepi kuhusu mchuoano wa CHAN na haswa kuhusu maandalizi na ushindi wa mechi ya kwanza ya Harambee Stars?
#Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo Sir Wycliffe Bucachi Abu Webungo Lucy Nyaga Babybeatrice Babanjau Lucy Mutua
Victor Mandala (@victormandalamc) 's Twitter Profile Photo

HOSSANA MACHEO Ni ombi langu kuwa Mungu anyoshe njia zetu Methali 3:5-6 Mtumaini Mwenyezi-Mungu kwa moyo wako wote, wala usitegemee akili zako mwenyewe. Umtambue Mungu katika kila ufanyalo, naye atazinyosha njia zako youtube.com/watch?v=STiJPg… #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC

HOSSANA MACHEO
Ni ombi langu kuwa Mungu anyoshe njia zetu
Methali 3:5-6
Mtumaini Mwenyezi-Mungu kwa moyo wako wote, wala usitegemee akili zako mwenyewe. Umtambue Mungu katika kila ufanyalo, naye atazinyosha njia zako
youtube.com/watch?v=STiJPg…
#Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC
Victor Mandala (@victormandalamc) 's Twitter Profile Photo

HIMIZO:- Chanzo cha Uasi/Rebellion, yaani ukijipata na Tabia hizi Basi Uasi unakuvizia,bmgeukie Mungu Mara moja - Himizo Na Victor Mandala VMM - Numbers 12:1-2 youtube.com/watch?v=BJRvlx… Kindly SUBSCRIBE Now for More #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo Lucy Nyaga