Wizara ya Viwanda na Biashara (@viwandabiashara) 's Twitter Profile
Wizara ya Viwanda na Biashara

@viwandabiashara

Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Viwanda na Biashara

ID: 1140494334032306176

linkhttp://www.mit.go.tz calendar_today17-06-2019 05:40:13

1,1K Tweet

49,49K Followers

96 Following

Wizara ya Viwanda na Biashara (@viwandabiashara) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) amelielekeza Baraza la Ushindani (FCT) kuhakikisha kuwa linaendelea kufanya kazi kwa weledi, upendo na ushirikiano ili kuwapa Wawekezaji na Wafanyabiashara uhakika wa usalama wa mitaji yao na kuongeza wawekezaji nchini.

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amekutana na ujumbe kutoka China na kufanya kikao kilichoangazia maswala mbalimbali ya kibiashara, teknolojia na fursa kwa bidhaa zenye tija kama vile kahawa, mvinyo, mwani, samaki, maparachichi simenti na madini Aprili

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil T.Abdallah akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe.Fatma Abdallah baada ya kuwasili nchini humo kwa lengo la kushiriki Ziara ya Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania nchini humo, Aprili 27,2025 Jijini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda ma Biashara Dkt.Hashil T. Abdallah akimwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) akiongoza Ujumbe wa Tanzania kuzungumza na kutembelea Mji mpya wa Biashara na Viwanda (Khazaen City) ambao umeanza kujengwa nchini Oman Aprili

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil T. Abdallah akiongoza Ujumbe wa Tanzania akiwa ameambata na na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo kutembelea Msikiti Mkbwa wa Sultan Qaboos uliopo Muscat ikiwa ni sehemu ya utalii April 29,2025 Muscat-Oman.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil T. Abdallah akiongoza Ujumbe wa Tanzania akiwemo Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe.Fatma Abdallah na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Dkt.Stephen Nindi na Sekta binafsi kufanya Mazungumzo na Jukwaa la Wafanyabiashara na

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil T. Abdallah akiongoza Ujumbe wa Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Biashara,Viwanda na Uwekezaji nchini Oman Mhe. Qais Mohammed Al Yousef katika Ofisi za Wizara hiyo April 29,2025 Nchini Oman . Mazungumzo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil T. Abdallah akiongoza Ujumbe wa Tanzania  kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Biashara,Viwanda na Uwekezaji nchini Oman Mhe. Qais Mohammed Al Yousef katika Ofisi za Wizara hiyo April 29,2025 Nchini Oman .

Mazungumzo
Wizara ya Viwanda na Biashara (@viwandabiashara) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil T. Abdallah akiongoza Ujumbe wa Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mamlaka ya Uwekezaji wa Oman Bw. Mulham Al Jurf na jopo lake katika ofisi za Malmaka hiyo April 29,2025 Muscat-Oman. Aidha

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil T. Abdallah akiongoza Ujumbe wa Tanzania  kukutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mamlaka ya Uwekezaji wa Oman Bw. Mulham Al Jurf na jopo lake katika ofisi za Malmaka hiyo April 29,2025 Muscat-Oman.

Aidha
Wizara ya Viwanda na Biashara (@viwandabiashara) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Suleiman Jafo amesema Tanzania na Malawi zimekubaliana kuondoa vikwazo vya kibiashara na kuendelea kushirikiana Kibiashara. Dkt Jafo ameyasema hayo Mei 2, 2025 baada Nchi hizo mbili kutia saini Tamko la Pamoja (Joint Communiqué)

Wizara ya Viwanda na Biashara (@viwandabiashara) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) amekutana na Kamati ya tathmini ya biashara baina ya wazawa na wageni pamoja na viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo na Wadau mbalimbali wa biashara nchini kwa lengo la kupata mrejesho wa ripoti hiyo

DKT.JAFO MGUU KWA MGUU KARIAKOO. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) akitembelea Soko la Kariakoo kwa lengo la kuona na kukagua shughuli mbalimbali za biashara zinavyofanyika pamoja na kuona utekelezaji wa Kamati ya tathmini ya ufanyaji biashara wa wazawa na

DKT.JAFO MGUU KWA MGUU KARIAKOO.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) akitembelea Soko la Kariakoo kwa lengo la kuona na kukagua shughuli mbalimbali za biashara zinavyofanyika pamoja na kuona utekelezaji wa Kamati ya tathmini ya ufanyaji biashara wa wazawa na
Wizara ya Viwanda na Biashara (@viwandabiashara) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo (Mb) ametoa wito kwa wataalamu wa sekta ya biashara kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi, wakishughulikia changamoto za wananchi kwa umakini na kutoa taarifa sahihi. Dkt. Jafo ameyasema hayo Mei 5, 2025, wakati wa

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo (Mb) ametoa wito kwa wataalamu wa sekta ya biashara kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi, wakishughulikia changamoto za wananchi kwa umakini na kutoa taarifa sahihi.

Dkt. Jafo ameyasema hayo Mei 5, 2025, wakati wa
Wizara ya Viwanda na Biashara (@viwandabiashara) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) akishiriki kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Cleopa David Msuya. Zoezi hilo limeongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) akishiriki kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Rais  wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Cleopa David Msuya.

Zoezi hilo limeongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Viwanda na Biashara (@viwandabiashara) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) akitembelea Kiwanda cha kuunganisha Magari cha HOWO SATURN CORPORATION kuona jinsi shughuli za uunganishaji magari hayo zinavyofanyika wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Kiwanda hicho zilizofanyika Mei

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb)
akitembelea Kiwanda cha kuunganisha Magari cha HOWO SATURN CORPORATION kuona jinsi shughuli za uunganishaji magari hayo zinavyofanyika wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka mmoja wa Kiwanda hicho zilizofanyika Mei
Wizara ya Viwanda na Biashara (@viwandabiashara) 's Twitter Profile Photo

DKT.JAFO ATAKA MWANANCHI APATE BIDHAA ZENYE UBORA Waziri wa Viwanda na BiasharaMhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) amewataka Wakala wa Vipimo (WMA) kuendelea kusimamia ubora wa bidhaa zinazozalishwa viwandani lengo likiwa ni kuhakikisha mtumiaji wa mwisho anapata bidhaa zenye ubora.

DKT.JAFO ATAKA MWANANCHI APATE BIDHAA ZENYE UBORA
 
Waziri wa Viwanda na BiasharaMhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) amewataka Wakala wa Vipimo (WMA) kuendelea kusimamia ubora wa bidhaa zinazozalishwa viwandani  lengo  likiwa ni  kuhakikisha mtumiaji wa mwisho  anapata bidhaa zenye ubora.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) akishiriki kikao cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah aliyeambatana na ujumbe wake Mei 25,2025 Ikulu Jijini Dar es