
WLAC
@wlactanzania
The Women's Legal Aid Centre stands in solidarity with Tanzanian women & children by providing legal aid services & a wide-ranging mix of public programming.
ID: 1688196685
http://www.wlac.or.tz/ 21-08-2013 12:15:31
383 Tweet
287 Followers
208 Following




WLAC imetoa elimu ya Haki ya Mwanamke kumili, kutumia na kunufaika na Ardhi katika kijiji cha KISHURO kata ya NGENGE-MULEBA Stand4herlandtz #lindaardhiyamwanamke #ardhinimali







Tumeshiriki Mkutano wa Kitaifa wa wadau utekelezaji wa uboreshaji wa Usalama wa Milki za Ardhi uliofanyika Dodoma. Kauli Mbiu: Usawa wa Kijinsia katika umiliki wa ardhi kwa ustawi wa Jamii. WIZARA YA ARDHI @ofisi_ya_rais_tamisemi


Tunashiriki wiki ya sheria wilayani Muleba, Mkoa wa Kagera. Mwanasheria Felicia Isimula akitoa msaada wa sheria # Msaada wa sheria ni Haki ya Binadamu # Wiki ya sheria 2024 Wizara ya Katiba na Sheria








Tunampongeza Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Manyara, Mheshimiwa Queen Cuthbert Sendiga kwa kusimamia haki ya Mama aliyepokonywa vitu usiku kisa wizi wa mumewe na kuamuru arudishiwe vitu vyake. Haki za Wanawake ni Haki za Binadamu. Queen Sendiga
