Ofisi ya Waziri Mkuu - KVAU (@wmkvau) 's Twitter Profile
Ofisi ya Waziri Mkuu - KVAU

@wmkvau

Official page of Prime Minister's Office - Labour, Youth, Employment and Persons with Disability Tanzania / Karibu Katika Ukurasa Rasmi wa OWM - KVAU

ID: 1483071536110133250

linkhttp://www.kazi.go.tz calendar_today17-01-2022 13:39:59

1,1K Tweet

1,1K Followers

4 Following

Ofisi ya Waziri Mkuu - KVAU (@wmkvau) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mary Maganga pamoja na Wakurugenzi wa Idara na Vitengo vya Ofisi hiyo wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa Mtumba jijini Dodoma leo Julai 25, 2025.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira, na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete pamoja na Naibu Waziri wa Ofisi hiyo Mhe. Patrobas Katambi wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika Uwanja wa Mashujaa Dodoma Julai 25, 2025.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete leo Septemba 12, 2025 amekutana na kuzungumza na Maafisa Kazi Wafawidhi mkoani Morogoro.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Zuhura Yunus amekagua maandalizi ya Wiki ya Vijana Kitaifa na shughuli za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 zitakazofanyika jijini Mbeya.