wamalwanickson6
@wamalwanickson6
physiology
ID: 1316784406334500865
15-10-2020 16:54:38
64,64K Tweet
3,3K Followers
1,1K Following

Jina la Bwana litukuzwe, umeamkaje hapo Mwana Ligi? Mungu ametuvusha na tunasonga mbele, karibu kwa Jumapili ya mwisho ya mwezi huu wa Januari. Ibaada imeanza! Hellenah Ken Mama Taifa Evah Mwalili Smith #nuru47jumapili #nuru47jumapili

Karibisho la Ibaada.. Unaingia ibaada wapi Jumapili hii? Mtume Paulo alitamani kuona kanisa likikua katika umoja na upendo. Ungetamani kuona nini katika kanisa la leo? Mama Taifa Evah Mwalili #HapaNdipo #Nuru47Jumapili

#shangwenawalterkinjo tumsifu yesu kristo nikiwa katika makao makuu ya moisbridge chebarus nikubarikiwa kanisa ni mtakatifu yohane mbatizaji chebarus catholic church chini ya paroko padre joseph njuguna na katikist Nicholas wafula misa ni saa mbili kamili Walter Kinjo

#MwashumbeNaMwakideu Dennismwashumbe