WiLDAF Tanzania (@wildaftz) 's Twitter Profile
WiLDAF Tanzania

@wildaftz

WiLDAF- Tanzania is a Pan Africa Network Organization, Strategically linking Law and Development for the betterment of Women's lives.
Free Legal Aid 0800780070

ID: 2882630705

linkhttp://www.wildaftanzania.or.tz calendar_today18-11-2014 13:51:58

8,8K Tweet

11,11K Followers

1,1K Following

WiLDAF Tanzania (@wildaftz) 's Twitter Profile Photo

On this Good Friday,WiLDAF Tanzania honours sacrifice and justice. May it inspire us to keep advancing women’s rights with compassion and courage. #GoodFriday

On this Good Friday,<a href="/WiLDAFTz/">WiLDAF Tanzania</a> honours sacrifice and justice. May it inspire us to keep advancing women’s rights with compassion and courage.
#GoodFriday
WiLDAF Tanzania (@wildaftz) 's Twitter Profile Photo

TAMKO LA MKUKI ( Mtandao wa Kupambana na Ukatili wa Kijinsia); KUPINGA UKATILI NA UDHALILISHAJI ALIOFANYIWA MSICHANA WA CHUO KIKUU. #TokomezaUKatili #MKUKI

TAMKO  LA MKUKI ( Mtandao wa Kupambana na Ukatili wa Kijinsia);
KUPINGA UKATILI NA UDHALILISHAJI ALIOFANYIWA MSICHANA WA CHUO KIKUU.
#TokomezaUKatili 
#MKUKI
WiLDAF Tanzania (@wildaftz) 's Twitter Profile Photo

Today, we celebrate the spirit of unity that built our nation. On this Union Day, @wildaftz honours the vision, resilience, and strength that continue to inspire our work for justice ,equality, and women's empowerment. #wildaftz #muunganoday

Today, we celebrate the spirit of unity that built our nation. 
On this Union Day, @wildaftz  honours the vision, resilience, and strength that continue to inspire our work for justice ,equality, and women's empowerment.
#wildaftz
#muunganoday
WiLDAF Tanzania (@wildaftz) 's Twitter Profile Photo

Unakutana na ukatili wa kijinsia? App ya Funguka inakuwezesha kuripoti haraka, kwa usiri, na bila gharama yeyote – popote ulipo Tanzania. 📱 Pakua leo na pata msaada wa haraka! #fungukaapp #wildaftz

Unakutana na ukatili wa kijinsia?
App ya Funguka inakuwezesha kuripoti haraka, kwa usiri, na bila gharama yeyote – popote ulipo Tanzania.
📱 Pakua leo na pata msaada wa haraka!
#fungukaapp 
#wildaftz
WiLDAF Tanzania (@wildaftz) 's Twitter Profile Photo

Je umewahi kufanyiwa ukatili wa kijinsia mitandaoni? Je umewahi kushuhudia mtu akifanyiwa ukatili wa kijinsia mitandaoni? au unafahamu mtu anayefanyiwa ukatili wa kijinsia mitandaoni? #elimikawikiendi #Funguka

WiLDAF Tanzania (@wildaftz) 's Twitter Profile Photo

Unyanyasaji mitandaoni ni aina ya ukatili unaofanywa kupitia mitandao ya kijamii, ujumbe wa simu, ama njia yoyote ile ya kidigitali kwa lengo la kumdhuru mtu kihisia, kumdharirisha, kumharbia mtu hadhi yake mbele ya jamii, au watu wake wa karibu. #elimikawikiendi #Funguka