
William Mawalla
@williammawalla
Haematologist| Researcher| Healthcare Entrepreneur
ID: 843822561582563329
20-03-2017 13:52:30
144 Tweet
270 Followers
496 Following

🔈Published in #BloodAdvances, this paper assesses treatment delays faced by East African patients with lymphoma ✍🏾3 of its authors are part of #SerenOxAfrica’s team; William Mawalla, Chamba & Anna Schuh 🔬A testament to our dedication to research & transnational cooperation










🏆Last week, our CEO, William Mawalla, and lead clinician, Dr. Chamba, received an award from the MoE for their research on "treatment delays in children and young adults with lymphoma in East Africa" 👉🏾Read the full study on ASH's website: ashpublications.org/bloodadvances/…


🏥 Sub-Saharan Africa gets significant healthcare aid, but diagnostics are often overlooked. SerenOx Africa is enhancing local capacity for sustainable, affordable diagnostics, ensuring better long-term healthcare. #Innovate4Health medium.com/innovate4healt…



Idara ya magonjwa na Saratani za damu, MUHAS, kwa kushirikia na Serenox Africa, kliniki maalum ya magonjwa ya damu inakuletea mfululizo wa elimu juu ya magonjwa ya damu na Saratani zake. Dkt. Clara Chamba akielezea kuhusu Upungufu wa Damu (Anaemia) SerenOx Africa

Idara ya Magonjwa na Saratani za Damu, MUHAS, kwa kushirikia na SerenOx Africa, kliniki maalum ya magonjwa ya damu inakuletea mfululizo wa elimu juu ya magonjwa ya damu na Saratani zake. Dr Ahlam Nasser anaelezea juu ya Saratani ya damu aina ya leukemia. youtu.be/UzrLicndB2g

Advancing Burkitt lymphoma diagnosis: Exploring liquid biopsy as a minimally invasive alternative to tissue biopsy! Muhimbili University Anna Schuh Oxford Cancer ascopubs.org/doi/10.1200/GO…


Idara ya magonjwa na Saratani za damu, MUHAS, kwakushirikia na washirika, Serenox Africa SerenOx Africa kliniki maalum ya magonjwa ya damu inakuletea mfululizo wa elimu juu ya magonjwa ya damu na Saratani zake. Kwenye video hii wanaelezea maana ya hematologia (Magonjwa ya damu)

Idara ya magonjwa na Saratani za damu, MUHAS, kwakushirikia na Serenox Africa SerenOx Africa inakuletea elimu juu ya magonjwa ya damu na Saratani zake. Hapa wanaelezea kuhusu tatizo la uvujaji/uviliaji wa damu sehemu mbalimbali za mwili usivyokawaida. youtube.com/watch?v=mxTLvx…

