Wizara ya Kilimo (@wizarakilimo) 's Twitter Profile
Wizara ya Kilimo

@wizarakilimo

Ukurasa rasmi wa Wizara ya Kilimo, Tanzania

ID: 2777956080

linkhttp://www.kilimo.go.tz calendar_today29-08-2014 07:26:42

7,7K Tweet

17,17K Followers

10 Following

Wizara ya Kilimo (@wizarakilimo) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) I mtarajiwa kushiriki katika Maonesho ya Dunia – Osaka Expo 2025 yatakayofanyika Japan kuanzia tarehe 6 hadi 15 Juni 2025. Karibuni kutembelea banda!

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amekabidhi Magari 38 yenye thamani ya shilingi Bilioni 4.2 kwa ajili ya kusimamia na kutekekeza majukumu ya Sekta ya Kilimo; pamoja na magari 7 ya mitambo ya Uchimbaji Visima tarehe 12 Mei 2025, jijini Dodoma.

Tagie Daisy (@tagiedaisy) 's Twitter Profile Photo

BASHE: SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI KWA WAUZAJI WA MBEGU FEKI NCHINI Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Serikali iko mbioni kutunga Sheria itakayowabana wauzaji wa mbegu, viuatilifu na mbolea feki ili waweze kuhukumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi kuanzia msimu

BASHE: SERIKALI KUTUNGA SHERIA KALI KWA WAUZAJI WA MBEGU FEKI NCHINI

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Serikali iko mbioni kutunga Sheria itakayowabana wauzaji wa mbegu, viuatilifu na mbolea feki ili waweze kuhukumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi kuanzia msimu