Yas Tanzania (@yastanzania_) 's Twitter Profile
Yas Tanzania

@yastanzania_

Tigo Tanzania is now Yas Tanzania—where dreams and digital life meet. #YasTanzania #ItsOurTime #NiWakatiWetu

ID: 265942155

linkhttps://www.yas.co.tz/ calendar_today14-03-2011 11:30:02

174,174K Tweet

406,406K Followers

8,8K Following

Yas Tanzania (@yastanzania_) 's Twitter Profile Photo

#SITAPELIKI Ripoti utapeli kwenye namba 15040 na hakikisha unafuata maelekezo kwa usahihi kutoka kwa mtoa huduma wako kukamilisha uwasilishaji wa tukio husika.

Zege Vs Bando. Ofa ya zege limekauka vizuuuri, pilipili kwa mbaaali, tomato pembeni kwa aftatu au teleza mtandoni na ofa spesho 1.4GB/Siku 15. *147*00# > Ofa spesho

Yas Tanzania (@yastanzania_) 's Twitter Profile Photo

UTHUBUTU MUHIMU: "Fursa ziko nyingi sana, cha muhimu ni kuamua, Tumia simu yako uliyonayo na anzia hapo hapo ulipo." Baraka Jeremiah CEO na Mwanzilishi- Kilimo Fresh Foods KilimoFresh Foods Africa #AnziaUlipo

Yas Tanzania (@yastanzania_) 's Twitter Profile Photo

Wakati naanza, video ya kwanza kutengeneza haikuwa na quality nzuri lakini sikusisita kuanza. Mwanzoni, Nilikosa bando hata ya kupost content lakini nilikopa Nivushe Plus ili tu ninunue bando nipost content zangu ziende hewani. #AnziaUlipo Zero brain

Yas Tanzania (@yastanzania_) 's Twitter Profile Photo

Admin wa DAR anatetemeka baridi huko balaa sisi wa mikoani tumeshazoea 🌧🥶 Kwa Mangi hapaendeki na huna salio/MBs tunajisort chap na Niwezeshe. 🤏 *147*00# Niwezeshe #AnziaUlipo

Yas Tanzania (@yastanzania_) 's Twitter Profile Photo

🤣Baki mtandaoni ya jumapili hayaeleweki aisee.🤗 Lolote linaweza tokea, watokee au wasitokee. 👀Hatuchezi mbali mtandaoni *147*00# >ofa spesho

Yas Tanzania (@yastanzania_) 's Twitter Profile Photo

Lolote linaweza tokea🤗, watokee au wasitokee. Kote hakueleweki ujue 🤣 Yetu 👀 Hatuchezi mbali mtandaoni *147*00# >ofa spesho

Yas Tanzania (@yastanzania_) 's Twitter Profile Photo

Kliniki ya Matibabu ya Macho BURE.  Huduma zitakazotolewa 1-Ushauri  2-Dawa & Miwani    Banda la Yas, Viwanja vya Sabasaba DSM Tarehe: 2-5 July 2025  Saa 2 Asubuhi -9:30 Alasiri Tunashirikiana na Khoja Shia Ithnaashery Charitable Eye Centre.

Yas Tanzania (@yastanzania_) 's Twitter Profile Photo

Mwezi una Wiki hizo 🖐 (5) Sema uzuri Nivushe Plus inanifanya nisijione mnyonge 🫶 na hakuna anayejua 😂 *150*01# Ila kwenye Mixx App ni 🔥 zaidi