
Yesaya Software
@yesayasoftware
Jina langu ni Yesaya, ninafundisha programming kwa kiswahili, naendesha majadiliano kuhusu TEHAMA, nafanya livestreams na kuhost podcast ya Yesaya Software.
ID: 265200733
https://yesayasoftware.co.tz/ 13-03-2011 05:08:07
4,4K Tweet
2,2K Followers
798 Following



#BuildwithAI imeandaliwa na GDG Dar es Salaam baadhi ya watoa maada wa leo saa 8 mchana, jiandikishe sasa. gdg.community.dev/events/details…






Unapitwa na nondo, chukua link hii tumalize session leo. 🔥🔥🔥 gdg.community.dev/events/details… GDG Dar es Salaam


