
Zani Mohammed
@zani_mohaa
Journalist, Sports Journalist @azamtv,Presenter @azamtvsports.Producer and VO artist.Production life
ID: 1781958372742340608
https://youtube.com/@zanimohaa017?si=NsB11B_Uw9GPweZ2 21-04-2024 08:10:06
69 Tweet
44 Followers
54 Following




Usipothamini chako, utakuwa mtumwa wa,vya wengine โ๏ธ MUNGU JITIHADA SUBIRA Litachomoza na Tutaliota #litachomozanatutaliota Azam TV Azam Sports FKF Premier League Football Updates Momanyi Elijah01(Nyaribari Chache Finest )



Klabu ya Al Ahly kutoka nchini misri ndio mabingwa wa Afrika baada ya kuiduwaza Es Perance ya Tunisia goli moja kwa bila katika mchezo wa marudiano. Ahly wametwaa taji hilo kwa mara ya 12 katika historia. ๐ธAll Ahlysc Azam TV TotalEnergies CAFCL & CAFCC ๐ CAF_Online



I'm your God's favourite Tv presenter Nyaribari chache finest Azam TV AzamTV Kenya Machakos was good FKF Premier League Zani Mohammed Eid mubarak โจ๏ธ Picture credits LUPO ๐ฆ #AzamTvBurudaniKwaWote #FootballKE #EidMubarakEveryone


Asili ya kuchonga mwiko ni kuchoka kuungua. Momanyi Elijah01(Nyaribari Chache Finest ) iamalisalim charles ๐ธxxx porn hub๐ฆ


Na Wanangu wa maana kabisa Momanyi Elijah01(Nyaribari Chache Finest ) Kevin 'Ade' Omondi dribbling master zama zake,naye pia alikuwepo kuhitimisha msimu. FKF Premier League Azam TV



๐ธ Fkf gala awards โจ๏ธ Never give up,trust the process, and it may take time, but that time will come to pass. It can only get better ๐ Kila hatua ni dua ๐ Football Kenya Federation Zani Mohammed Kaka Zema @careenkibet iamalisalim #FootballKE #Godspeed #MunguMbele #FkfGala




Nikiwa na Charles Onyango KE Zani Mohammed katika mechi y Gor Mahia dhidi ya Al Ahly,tukapiga kiarabu cha mchongo aisee ๐ kumbe wenyewe wanaskiza..wakafurahia na kutuita hukoo kwa Pharaoh #FootballKE #FKFPL #CAFCL #TotalEnergiesCAFCL

Estadio de dandora imekuwa nzuri sana leo ila jua leo limechoma balaa .. 2k urgently, hutoka mbali . Majaliwa tupatane estadio de kenyatta machakos kesho mapema. Na Mwenyezi Mungu atujalie sote ๐ Zani Mohammed #Nyaribarichachefinest #Mungusikuzote #Godspeed #GodsPlan



Mumias Complex Kakamega kaunti Asanteni sana urie munoooooo........ Unaishi kwa unacho kiamini Cc iamalisalim Zani Mohammed Charles Onyango KE @azam_Sports_ke Na Mwenyezi Mungu atujalie sote ๐ #FootballKE #AzamTvBuradaniKwaWote


Nacheki my guy Momanyi Elijah01(Nyaribari Chache Finest ) ๐ฅ na Zani Mohammed wakifanya analysis #MashemejiDerby
