SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile
SiasaZetu

@zetusiasa

Jukwaa Linalojadili Maendeleo, Siasa, Diplomasia na Yanayojiri nchini Tanzania. #SiasaZetu

ID: 1778794997766131712

linkhttps://shorturl.at/DnAaz calendar_today12-04-2024 14:39:33

946 Tweet

3,3K Followers

0 Following

SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Tunawatakia Eid al-Haj njema yenye furaha, amani, na baraka tele kwenu na familia zenu. Mwenyezi Mungu aijaze mioyo yenu upendo, imani na mafanikio tele. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo

Tunawatakia Eid al-Haj njema yenye furaha, amani, na baraka tele kwenu na familia zenu. Mwenyezi Mungu aijaze mioyo yenu upendo, imani na mafanikio tele.

#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Bima ni haki ya msingi kwa kila mwananchi ,Taifa imara hujengwa na wananchi walio tayari kwa changamoto za kesho. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo

SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Mikataba ya kimataifa imeisaidia Tanzania kukuza uchumi kupitia fursa za biashara, uwekezaji, na misaada ya maendeleo. Sasa ipo hewani kupitia YouTube channel yetu 👉 . youtu.be/v5D4fIu4ObQ #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo

SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Kuhama kwa wanachama kutoka chama kimoja kwenda kingine ni jambo la kawaida katika siasa na ni sehemu ya uhuru wa mtu binafsi kuchagua mahali anapoamini matarajio yake ya kisiasa yatatimia. Kama ulipitwa na X-space ya Jumamosi ya mai 2025 haya ni machache yaliyokuwa yakijadiliwa

SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Kuwekeza kwenye afya ya jamii ni msingi wa maendeleo endelevu, kwani jamii yenye afya bora ina uwezo mkubwa wa kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi, kijamii na kielimu. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo

SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Kwa nchi kama Tanzania, mikataba hii imekuwa nyenzo muhimu ya kuvutia uwekezaji wa nje, kupata misaada ya kiufundi na kifedha, na kushiriki kikamilifu katika masuala ya kimataifa. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo

SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Wanachama kuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine ni ishara ya uhuru wa kisiasa, ambapo kila mmoja ana nafasi ya kufuata dira inayolingana na imani na matumaini yake ya kisiasa.Kama ulipitwa na X-space ya Jumamosi ya mai 2025 haya ni machache yaliyokuwa yakijadiliwa na

SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Mikataba ya kimataifa husaidia kuboresha maisha ya kijamii kwa kulinda haki za binadamu, kuhimiza usawa, afya, elimu, na amani kwa kufuata viwango vya kimataifa.. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo

SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Afya kwa wamama wasiojiweza ni muhimu kwa kupunguza vifo vya uzazi, kuzuia magonjwa, na kuhakikisha watoto na familia zao wanakuwa na afya bora, hivyo kuchangia maendeleo ya familia na jamii kwa ujumla. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo

SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Tukiwa tunajiandaa kuelekea uchaguzi, kuna hatua muhimu tunazopaswa kuchukua ili kuhakikisha tunapiga kura kwa Amani na haki . #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo

Tukiwa tunajiandaa kuelekea uchaguzi, kuna hatua muhimu tunazopaswa kuchukua ili kuhakikisha tunapiga kura kwa Amani na haki . 

#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Mikataba ya kimataifa hufungua milango ya ushirikiano na maendeleo kwa nchi kwa kuruhusu biashara huru, uwekezaji, na uboreshaji wa teknolojia.Sasa ipo hewani kupitia YouTube channel yetu 👉 . youtu.be/v5D4fIu4ObQ #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo

SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Pendekeza mwanamke ambaye ungetamani kusikia safari yake ya kisiasa — changamoto alizopitia, mafanikio aliyoyapata, na ndoto anazozililia kwa ajili ya kizazi kijacho. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo

Pendekeza mwanamke ambaye ungetamani kusikia safari yake ya kisiasa — changamoto alizopitia, mafanikio aliyoyapata, na ndoto anazozililia kwa ajili ya kizazi kijacho.

#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Tukielekea msimu wa uchaguzi, ni wajibu wetu kama raia kuwajibika kwa kufanya maamuzi sahihi yanayojengwa juu ya maarifa, uchambuzi wa kina na uzalendo wa kweli. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo