Zanzibar Investment Promotion Authority (@zipazanzibar) 's Twitter Profile
Zanzibar Investment Promotion Authority

@zipazanzibar

To make Zanzibar an attractive and competitive investment destination, regionally and globally.

ID: 1413455171523207179

linkhttp://zipa.go.tz/ calendar_today09-07-2021 11:09:30

106 Tweet

469 Followers

7 Following

Zanzibar Investment Promotion Authority (@zipazanzibar) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Imekutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Changdu Wallet Investment Co. Ltd Bw. Zeng Fanliang katika Viwanja vya Saba Saba Dar Es Salaam. #visitzanzibar #wekezazanzibar #investinzanzibar

Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Imekutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Changdu Wallet Investment Co. Ltd Bw. Zeng Fanliang katika Viwanja vya Saba Saba Dar Es Salaam.

#visitzanzibar
#wekezazanzibar
#investinzanzibar
Zanzibar Investment Promotion Authority (@zipazanzibar) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) inaendelea kuzitanga fursa za biashara na Uwekezaji zilizopo Zanzibar katika Maonesho ya Kimataifa ya 48 ya Biashara (Saba Saba) yanayofanyika viwanja vya Saba Saba Dar es Salaam #visitzanzibar #wekezazanzibar #investinzanzibar

Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) inaendelea kuzitanga fursa za biashara na Uwekezaji zilizopo Zanzibar katika Maonesho ya Kimataifa ya 48 ya Biashara (Saba Saba) yanayofanyika viwanja vya Saba Saba Dar es Salaam

#visitzanzibar
#wekezazanzibar
#investinzanzibar
Zanzibar Investment Promotion Authority (@zipazanzibar) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) inaendelea kuzitanga Fursa za biashara na Uwekezaji zilizopo Zanzibar kwa wageni wanaotembelea katika banda la ZIPA kwenye Maonesho ya Kimataifa ya 48 ya Biashara (Saba Saba) yanayofanyika viwanja vya Saba Saba Dar es Salaam

Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imekutana na muwakilishi wa kampuni ya Tanzania Pan African investors assosiation (TAPAIA) Bw. Sebastian Kingu aliyetembelea banda la ZIPA liliopo Saba Saba Hall kwenye Maonesho ya Kimataifa ya 48 ya Biashara (Saba Saba)

Zanzibar Small Islands Investment and Marine Conservation Forum will be held Tomorrow in Golden Tulip Airpot Hotel Zanzibar at 07:00 AM. You are most Welcome……….. #visitzanzibar #wekezazanzibar #investinzanzibar

Zanzibar Small Islands Investment and Marine Conservation Forum will be held Tomorrow in Golden Tulip Airpot Hotel Zanzibar at 07:00 AM.

You are most Welcome……….. 

#visitzanzibar 
#wekezazanzibar 
#investinzanzibar
Zanzibar Investment Promotion Authority (@zipazanzibar) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) inatoa pongezi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuboresha huduma za Afya nchini jambo ambalo litaikuza sekta ya Uwekezaji nchini #visitzanzibar #wekezazanzibar #investinzanzibar

Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) inatoa pongezi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuboresha huduma za Afya nchini jambo ambalo litaikuza sekta ya Uwekezaji nchini

#visitzanzibar
#wekezazanzibar
#investinzanzibar