Binti Umazi
@_bintiumazi
A radio presenter currently working at www.cocomedia as a mid -morning host,bango show and a digital producer. Also worked at lulufm.co.ke from 2016
ID: 1885597258877370368
01-02-2025 07:56:13
13 Tweet
2 Followers
14 Following
Ni muda wa Mapumziko baada Ya kuwa na siku nzima ya kutafuta,, it's #RhumbaRevolution na Pyukapyu Wa Pyukupyu & Deejay Works hadi Saa nne usiku. Unasikiliza ukiwa wapi? watch live: youtube.com/live/Wagi5x9zs… #LadhaYaPwani #COCOFM
Kumekucha FURAHIDAY! 🔥 Anita Nzaro, Joseph Marwa, Nyanya RUKIA na Dj Capuchino wako ndani ya #COCOASUBUHI kukuletea burudani, kicheko na mdundo wako wa asubuhi! Usikose dose yako ya siku! #COCOASUBUHI #ladhayapwani #COCOFM
Ni kisa kipi cha ukabila umekishuhudia katika biashara ? Kassim Mbui🇰🇪 Binti Umazi #janjaruka254 #COCOFM #ladhayapwani
je ukabila upo katika biashara ? #gumzokazini #janjaruka254 Kassim Mbui🇰🇪 Binti Umazi Elvis Baya Millie Kanazi Amigo NYOSH GATHU #Cocofm #ladhayapwani #KassimNaUmazi