Elvis Baya (@_elvisbaya) 's Twitter Profile
Elvis Baya

@_elvisbaya

Le Grand

ID: 1377226167258902530

calendar_today31-03-2021 11:48:29

9,9K Tweet

1,1K Followers

792 Following

Radio Coco (@cocofmradio) 's Twitter Profile Photo

#rhumbarevolution na Pyukapyu Wa Pyukupyu & Deejayworks 254 #Rhumba hadi saa nne usiku. Unaburudika ukiwa wapi? #ladhayapwani #COCOFM

#rhumbarevolution na Pyukapyu Wa Pyukupyu & Deejayworks 254 #Rhumba hadi saa nne usiku. Unaburudika ukiwa wapi?
#ladhayapwani
#COCOFM
Radio Coco (@cocofmradio) 's Twitter Profile Photo

Mastingo leo ni deadly deadly😁 Karibu #CocoAsubuhi tujibambe hadi 10am. Unategea ukiwa wapi na nani? Anita Nzaro, Joseph Marwa na Nyanya RUKIA #CocoAsubuhi #ladhayapwani

Mastingo leo ni deadly deadly😁 Karibu #CocoAsubuhi tujibambe hadi 10am. Unategea ukiwa wapi na nani? <a href="/AnitaNzaro/">Anita Nzaro</a>, <a href="/maroa_wambura/">Joseph Marwa</a> na Nyanya RUKIA 

#CocoAsubuhi 
#ladhayapwani
Radio Coco (@cocofmradio) 's Twitter Profile Photo

#AD UNASUBIRI NINI?! JIUNGE NASI SASA. Taasisi ya National Beekeeping inapania kukupatia elimu mahsusi kuhusiana na ufugaji wa nyuki kwa lengo la kuzalisha asali sawa na bidhaa nyingine zinazotokana na ufugaji.

#AD
UNASUBIRI NINI?! JIUNGE NASI SASA.
Taasisi ya National Beekeeping inapania kukupatia elimu mahsusi kuhusiana na ufugaji wa nyuki kwa lengo la kuzalisha asali sawa na bidhaa nyingine zinazotokana na ufugaji.
Radio Coco (@cocofmradio) 's Twitter Profile Photo

Vigezo hitajika ni. Alama ya D katika mtihani wa kitaifa wa sekondari KCSE. KCE (division VI) astashahada yani certificate ya kozi yoyote ya kilimo. Artisan Certificate ya kozi ya Apiculture.

Radio Coco (@cocofmradio) 's Twitter Profile Photo

Au vigezo vilivyoidhinishwa na mamlaka ya Kenya National Qualifications Authority. Mwisho wa kujisajili kwa kozi hii ni tarehe 13 Juni Mwaka huu. National Beekeeping Institute, Lenana #CocoFM #ladhayapwani