CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile
CÔMMÔÑ__SÈÑSË

@_johnmwas

🇰🇪ROAD TO 10K🇰🇪
Reader || come with an open mind ||
learn to unlearn and relearn

ID: 1585300043795513347

calendar_today26-10-2022 15:59:27

21,21K Tweet

5,5K Followers

3,3K Following

CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

ADN NTV signal has been switched off for some time. If you still need signs of dictatorship then you are part of the problem we need to eradicate in the country

CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Imagine stopping a chess game to text your girl na bado anauliza if you love her🤦🥱I put myself in a risk of a timeout for you

CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

To guys Take photos any time anywhere. Ndio nimepatana na picha yangu when i was first year in campus and i looked so different.Hio time na sahii i have seen growth.Take pictures not only to serve as memories but as evidence of growth. To see who left and who stayed in your life

CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Nimetoka kutafuta attachment leo and let me tell you maina,usisome kama huna connections.Imagine kuambia mtu "nimekuja unipee kazi mingi na ngumu. Unitumie vile unataka"and they still tell you no.Funny enough,attachment is a unit in the university & one cannot graduate without it

CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Hujui unachosema. Ovacado can even eat avocado with another avocado 😂😂unaweza hata kula kofi na ovacado. Don't play with the power of avocado

CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Blocking people from travelling back should be a crime. What do you mean ati watu wasirudi nairobi just because wataenda sabasaba?? That breaking the law

CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Mnafanyanga nini mkiwa talking stage?? What do you talk about and what do you do??tumetusi ruto na huyu hadi tukachoka😂😂

CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeoshwa that after nimeoshwa imebidi nikae chini kwanza nifurahie kazi hao watu wamefanya. Niwatumie number mumsalimie???

CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Sahii nikiskia mzazi anaambia mtoi wake asilete mtu wa tribe flani nacheka kwanza. He/she should be praying mtoto wake akuje na mtu wa the opposite gender otherwise brayo wake atakuja na kevo ati wanapendana

CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Mvua kidogo mathe ananiambia shosh amenimiss na anataka nikamsalimie wiki mbili😂😂enyewe kukuwa mwanaume, na unakaa na mzazi na huna kazi ni makosa kubwa sana

CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa broke hata huwezi kuwa romantic ju pesa ya maua na chocolates zitatoka wapi😂😂utapeleka mtoto wa wentwe out na nini? Thats why a broke man or woman should not be in love😂😂

MethoDman (@polo_kimanii) 's Twitter Profile Photo

Kenyans we must all stand with this man. Not because he needs us but because we need him. We must help him to help us. Sahii mama mboga ananiita ule Customer wa Maraga

Kenyans we must all stand with this man. Not because he needs us but because we need him.

We must help him to help us. Sahii mama mboga ananiita ule Customer wa Maraga
CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

As kenyans we should ensure UN doesn't come to kenya and don't have peace in kenya. UN has united in their name yet they sow division in many countries. Wakikuja kenya cost of living will skyrocket like hell

CÔMMÔÑ__SÈÑSË (@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Naonanga dem mrembo, nampenda but nikienda kumkatia ndio nifungue roho akili inanikumbusha I'm broke and I wouldn't want mtoto wa wenyewe ateseke ju ya mapenzi so nawacha kiherehere na najiwekea feelings zangu narudi kutafuta pesa😂😂anyway, nitumieni dooh za kulipa malaya